Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

Mataahira ya mama ndio yanaona jiwe alileta hasara!

Sikia dogo! Jiwe ndio alitaka kututoa huko kwenye hizo hasara ila nyie mataahira mkagoma kutoka huko!

Kiufupi hao kina seth walikuwa wakupigwa risasi wafe tu kuliko kuendelea na huu upumbavu.

jiwe ameharibu mentality zenu, kwahiyo kuwapiga risasi ndio sheria inataka hivyo, jiwe ameitia nchi hasara
 
Usiwwpe umuhimu chadema wengi ni wajinga wasiojitambua

Kina kikwete wanawapenda sana chadema kwasababu yanajaa kwenye mipango yao
Jiwe ndio alitaka kukutoa kwenye hasara ila nyie wapumbavu mkagoma kutoka huko
 
Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile.

Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
Sasa hili ndio tulikua tunaliogopa toka wahuni walioko madarakani sasa. Nadhani moja ya masharti kuwaachia hao fisadi ilikus kukubali makosa na kutofungua mashitaka dhidi ya serikali.
Tunajua seth anaweza kushawishiwa kufungua kesi na wahuni walioko madarakani ili kuidai nchi mabilioni kupitia njama kati ya wahuni serikalini na wanasheria malaya wauza haki.
 
Watafungua kesi haraka haraka ili walipwe kabla awamu hii haijaisha.
 
Hii nchi bado haijafikia umri wa kuongozwa na Mama
Yeye amekuwa kama nakala, kuna yule mtu wa pwani ndio anadurufu, ukimuona anakuchekea unajua huyu ndio mtu safi kumbe mnafiki hatari.
 
Matahira ya jiwe yanamlaumu mama,wakati jiwe ndio chanzo Cha yote na kukurupuka kwake bila kutumia akili na sheria, Kuna wengi wataifungulia serikali kesi ambao walizurumiwa na jiwe na kupewa kesi,

Wengi Sana,ni suala la muda tu
Bi KIZIMKAZI alimtoa CHATU lupango kwa vimemo vya MSOGA, wamekaa wanatengeneza sebene la kutupiga.

Kwanini Bi KIZIMKAZI akuachia mahakama ifanye kazi yake?
 
Back
Top Bottom