Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
ulitaka iwe lisu expresssamia express kivipi tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulitaka iwe lisu expresssamia express kivipi tena?
Eti samia express utafikiri katoa hela zake mwenyewe kumbe ni kodi zetu na mikopo tunalipa wenyewe....Hii ni akili matope kabisa ya mwafrika.....My Take
Kilichonifurahisha no jina la treni hiyo ya haraka yenye kichwa Mchongoko (Electric Multiple Unit) kuitwa "Samia Express "
Kazi iendelee,Samia anaweza na chenji inabaki
---
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa Seti mbili (2) za treni ya kisasa inayotumia nishati ya umeme EMU (Electric Multiple Unit) na vichwa nane (8) vya treni vya umeme vimewasili Tanzania kutoka nchini Korea ya Kusini.
Serikali kupitia TRC ilifanya manunuzi ya Seti kumi (10) za treni za EMU zinazotengenezwa na kampuni ya Hyundai Rotem ya nchini Korea Kusini, Seti moja ya EMU ina jumla ya mabehewa nane yakijumuisha kichwa kimoja mbele na kingine nyuma ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 589 na kutembea kwa kasi ya kilomita 160 kwa saa.
Seti mbili (2) za EMU zinafikisha idadi ya seti tatu zilizowasili nchini mpaka sasa, seti ya kwanza iliyowasili mwezi Aprili 2024 inaendelea na majaribio.
Shirika la Reli Tanzania limeshapokea jumla ya mabehewa 65 ya abiria, vichwa 17 vya umeme na Seti tatu za EMU. Upokeaji wa vifaa vya uendeshaji vya reli ya kiwango cha SGR unaendelea kwa awamu tofauti, vifaa vipya vilivyowasili vitaendelea kufanyiwa majaribio kwaajili ya kujiridhisha. kabla ya kuanza kutoa huduma.
Shirika linaendelea na uendeshaji wa awali na utoaji huduma ya usafiri wa treni za umeme kupitia
reli ya kiwango cha kimataifa kati ya Dar es Salaam na Morogoro, uendeshaji rasmi kati ya Dar es Salaam hadi Dodoma unatarajiwa kuanza Julai 25, 2024.
Ndio Rais na msimamizi MkuuEti samia express utafikiri katoa hela zake mwenyewe kumbe ni kodi zetu na mikopo tunalipa wenyewe....Hii ni akili matope kabisa ya mwafrika.....
Treni ya mwendokasi.Uchawa ndio nini?Acheni uchawa...samia express ndiyo kitu gani...
Na uchafu wote unaoendelea nchini ni wake pia?Ndio Rais na msimamizi Mkuu
Uchafu gani?Na uchafu wote unaoendelea nchini ni wake pia?
Mwenye mtoto ni aliyelea, vinginevyo Diamond angesharudi Kwa Baba yake.Alie tungisha mimba ni mwingine kabisaa! Huyu Analazimisha mtoto aonekane wake kwa mbwembe! Na madoido! Mingi!
Byeyombo weweeeee.....Samia Express ni bonge la jina, limekaa kimarketting na pia ni very simple!!
Hata Byeyombo lingependeza tu!Samia Express ni bonge la jina, limekaa kimarketting na pia ni very simple!!
Mods wa jf ni wapuuzi sana, yaani mada imefika ukurasa wa 4 mnakuja kuunganisha na Uzi unaoanza? Hovyo kabisaSETI MBILI ZA TRENI ZA EMU (ELECTRIC MULTIPLE UNIT) ZAWASILI
Dar es Salaam, Tarehe 02 Julai, 2024
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa Seti mbili (2) za treni ya kisasa inayotumia nishati ya umeme EMU (Electric Multiple Unit) na vichwa nane (8) vya treni vya umeme vimewasili Tanzania kutoka nchini Korea ya Kusini.
Serikali kupitia TRC ilifanya manunuzi ya Seti kumi (10) za treni za EMU zinazotengenezwa na kampuni ya Hyundai Rotem ya nchini Korea Kusini, Seti moja ya EMU ina jumla ya mabehewa nane yakijumuisha kichwa kimoja mbele na kingine nyuma ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 589 na kutembea kwa kasi ya kilomita 160 kwa saa.
Seti mbili (2) za EMU zinafikisha idadi ya seti tatu zilizowasili nchini mpaka sasa, seti ya kwanza iliyowasili mwezi Aprili 2024 inaendelea na majaribio.
Shirika la Reli Tanzania limeshapokea jumla ya mabehewa 65 ya abiria, vichwa 17 vya umeme na Seti tatu za EMU. Upokeaji wa vifaa vya uendeshaji vya reli ya kiwango cha SGR unaendelea kwa awamu tofauti, vifaa vipya vilivyowasili vitaendelea kufanyiwa majaribio kwaajili ya kujiridhisha kabla ya kuanza kutoa huduma.
Shirika linaendelea na uendeshaji wa awali na utoaji huduma ya usafiri wa treni za umeme kupitia reli ya kiwango cha kimataifa kati ya Dar es Salaam na Morogoro, uendeshaji rasmi kati ya Dar es Salaam hadi Dodoma unatarajiwa kuanza Julai 25, 2024.
Jamila Mbarouk Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano