Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umesema wewe sijasema mimi..[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu mbona una haraka hivyo? Si usubiri k ijisafishe kwanza maana kuna stains za damu bado. Watu hamna kinyaa? Mbaya zaidi utakuta mtu anazama chumvini kulamba mabaki ya damu ya period, wtf!!!!
Hawezi kupata mimba maana hizo ni siku salama kwake.
Biology umeenda mbali ni Sayansi ya Darasa la 6Mmmh....Mleta Mada hujawahi kusoma Biology Shuleni?? Au bado hujafikia hiyo topic??
Ninaiomba hii elimu madame, nahisi kuna ujumbe mzito hapa!Mwanammke huenda Hedhi siku7
Haijalishi imeisha siku ya kwanza hio hio au ya 3..
lazima akae 7days....
7days hizo kuna baadhi ya mambo haruhusiwi wana dini mnajua wote... mambo asilia wanajua pia, na nyinyi wanaume hamtakiwi kuwaingilia ndani ya siku7 hizo!
hivi nyinyi wanaume msoenda jandoni mna nini? kila siku mnapishana kutibu henia[emoji22][emoji22]
usitumie hilo neno la kuvuja banaWe gonga tu mimba sio rahisi labda kama mkeo anavuja siku kumi hadi kumi na nne
Hiyo sayansi ya drs la sita na saba atakuwa alikuwa mtoro.Mmmh....Mleta Mada hujawahi kusoma Biology Shuleni?? Au bado hujafikia hiyo topic??
Mhh mkuu jamani.Dooh!
Kazi mnayo kweli...! Yaani hata nani haijakauka vizuri wewe unalabua tuu?
Ngoja Sky Eclat aje kukujibu
Wengine tunasoma kujibu mtihani tu.Mmmh....Mleta Mada hujawahi kusoma Biology Shuleni?? Au bado hujafikia hiyo topic??
Nimelipenda jibu hili. Binafsi nikimaliza zangu nakaa siku 2 bila kufanya kitu. Kwanza kuna kaharufu flank kanabaki ambacho binafs nakisikia Haya nikisex na mtu bivi kutakuwa na raha gani Hapo etiii. Aaghaaa. Muwe na kinyaa buana time zingineMkuu mbona una haraka hivyo? Si usubiri k ijisafishe kwanza maana kuna stains za damu bado. Watu hamna kinyaa? Mbaya zaidi utakuta mtu anazama chumvini kulamba mabaki ya damu ya period, wtf!!!!
Hawezi kupata mimba maana hizo ni siku salama kwake.
Mwanammke huenda Hedhi siku7
Haijalishi imeisha siku ya kwanza hio hio au ya 3..
lazima akae 7days....
7days hizo kuna baadhi ya mambo haruhusiwi wana dini mnajua wote... mambo asilia wanajua pia, na nyinyi wanaume hamtakiwi kuwaingilia ndani ya siku7 hizo!
hivi nyinyi wanaume msoenda jandoni mna nini? kila siku mnapishana kutibu henia[emoji22][emoji22]