FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Kwammba mtu asafiri masaa 8 kwa basi badala ya masaa ma4 kwa Treni? Ili iweje..Baada ya mwaka watu watalichoka hilo treni na kuanza kurudi kwenye mabasi.
Abiria wamejazana hivyo kwa sababu ya kwenda kulishangaa
Hata mm nashangaa, hapo tegemea mass adoption,Kwammba mtu asafiri masaa 8 kwa basi badala ya masaa ma4 kwa Treni? Ili iweje..
,🤣🤣🤣🤣🤣Abadilishe yawe Mabehewa TU ili ayaunge nyuma ya SGR train
SGR itaiufa kibudu Kama ilivyo kwa miundombinu mingine inayomilikiwa na Serikali. Kwani TAZARA iko wapi sasa hivi???Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.
Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na kuanza route Mpya ambazo hazikuwepo hapo kabla baad ya kupokwa tongue lake nono la Dar-Dom
View attachment 3051376
My Take
Ile Mikoa ilikuwa inapata Mabasi ya hovyo hovyo Sasa itapata Mabasi mazuri maana SGR imewatia adabu huko.
View attachment 3051377
Siku ya kwanza tuu Sgr imeasafirisha Abiria zaidi ya 900 kutoka Dar-Moro-Dom ambapo hapo ingekuwa ni zaidi ya Mabasi 15.
Baada ya kuona hivyo Kampuni ya Mabasi ya Abood wameamua kujiongeza na kuanza route Mpya ambazo hazikuwepo hapo kabla baad ya kupokwa tongue lake nono la Dar-Dom
View attachment 3051376
My Take
Ile Mikoa ilikuwa inapata Mabasi ya hovyo hovyo Sasa itapata Mabasi mazuri maana SGR imewatia adabu huko.
View attachment 3051377
Pia soma Tathimini: Ujio wa treni ya kisasa na athari zake kwa biashara ya usafiri wa anga na barabara
Wasiwasi wangu ni ktk kufubaa kwa huduma,si ktk kulizoea train.Baada ya mwaka watu watalichoka hilo treni na kuanza kurudi kwenye mabasi.
Abiria wamejazana hivyo kwa sababu ya kwenda kulishangaa
Dar to Dom ni
Dar to Moro
- Shabiby
- Kimbinyiko
- BM
- Ngesere
- Happy Nation
- Ndungai
- Abood
- BM
- New Force
- Coaster mchanganyiko
Mijitu ni mishamba cjui ikoje hawa ndio wapinga maendeleo mkuu .Acheni kuendekezq ujinga kuku wa Nini sasa kwenye gari? Kwenye basi la abiria Tenga la kuku linawekwa wapi?
We ndio mshamba usafir wa treni ndio unatumika nchi nyingi hio bei ni sawa ukiona kubwa we panda busWengibwanapanda sababu ya Ushamba na ugeni wa Treni,wakilichoka wataacha na litaanza kwenda Tupu hilo dude,nauli ni kubwa sanaa.
Kuna malori kazi yao ni kusafirisha hao Kuku na magunia ..Bus zitaendelea kupiga root kama kawaida,maana nahisi Kuna mashrti kwenye hiyo train ambapo kwenye bus ni ruksa.
Imagine bibi anatoka Dom na gunia la mahindi kilo 50 kama zawadi na Tenga la kuku.atapanda treni au basi?
Nauli ni bei gani Dom to dar Mkuu?Wengibwanapanda sababu ya Ushamba na ugeni wa Treni,wakilichoka wataacha na litaanza kwenda Tupu hilo dude,nauli ni kubwa sanaa.
Anachomaanisha baada ya muda hayatakua tena masaa manneYaani abiria wachoke sgr usafir wa uhakika na chap bila usumbufu warudi kwenye kugombaniwa na wauza ticket wa mabus
Huko magharibi SGR ndio inaelekea, si ajabu mwakani ikakamilika ya dar moro dodoma taboraSoko la mabasi bado linadai tena sana tu. Abood au hata Shabiiby hawapaswi kusikitishwa au kukatishwa tamaa na ujio es SGR_TZ. Kuna route za Dodoma kuelekea magharibi ya nchi zinadai. Dom-Kigoma kupitia Tabora au Kahama ni mojawapo ya route zinazoweza kuchukua nafasi za Dom Mor Dom Dar.
Utafiti niliofanya unaonyesha uhitaji makubwa wa usafiri wa mabasi magharibi mwa Tanzania na mashariki mwa nchi za Rwanda na Burundi.