SGR inahujumiwa kwa maslahi ya nani?

same way hata kwenye mabasiya mikoani haswa misimu ya skukuu watu hununua tiketi alafu utazinunua kwa bei kubwa ukiwa na haraka! huezi mlaumu mtu anafanya biashara na hajamzulumu mtu
Pamoja na kuwa ni biashara..lkn ni huduma, kutoa huduma kuna masharti yake, mfano huhitaji dalali(mtu wa kati) kwenye kutoa huduma..huyo anayenunua zote halafu si msafiri kwa lengo la kuuza tena ni dalali..si sahihi.
 
Trump anasemaje kuhusu waafrika?
 
Hakuna kitu nachukia kama ushenzi huu wa kuhujumu mali tulizolipia kwa jasho kali. Hakika ningekuwa rais ningenyonga watu sana kwa hilo swala!
 
Pamoja na kuwa ni biashara..lkn ni huduma, kutoa huduma kuna masharti yake, mfano huhitaji dalali(mtu wa kati) kwenye kutoa huduma..huyo anayenunua zote halafu si msafiri kwa lengo la kuuza tena ni dalali..si sahihi.
unajuaje aliekata ni dalali ama mteja?
 
Ingependeza picha maana kuna muda mwingine tunaweza kulaumu kuwa mabehewa hayajakaa Kumbe watu wameachwa
 
Mafisadi wenye mfumo kinzani wa sgr
 
Hakuna kitu nachukia kama ushenzi huu wa kuhujumu mali tulizolipia kwa jasho kali. Hakika ningekuwa rais ningenyonga watu sana kwa hilo swala!
huezi, izo ni biashara kama biashara zingine! yeye akinunua asipopata mteja wewe kama serikali bado utakua umepata mapato
 
Kwa vile tu uko huko mkuu, hakuna mahala katika nchi hii mambo yako shwari. Nchi imeoza kila pembe watu wanajipimia kwa size zao na bado hakuna anayejari, frankly speaking we need somebody
 
Kwa vile tu uko huko mkuu, hakuna mahala katika nchi hii mambo yako shwari. Nchi imeoza kila pembe watu wanajipimia kwa size zao na bado hakuna anayejari, frankly speaking we need somebody
hujawahi kununua tiketi ya basi kwa bei kubwa kipindi cha skukuu?
 
MAZINGIRA YA RUSHWA KILA UPANDE AIBU SANA!,..( TIKETI ZITENGENEZEWE CONTROL NUMBER MAALUM) NAMFUMO AMBAO UTARUHUSU MTU KUKATA TIKETI YAKE KWA SMART PHONE YAKE,NA PIA AKAWEZA KUCHAGUA SITI APENDAYO,MBONA MAMBO MARAHISI SANA HAYA.
(-TRC PASSENGERS TICKETING APP-)
-#WAZIRI HUSIKA
-#MKURUGENZI TRC
-#TEHAMA TRC
-#ASAP....
 
Ndiyo ilivyo hata Sasa..
Changamoto ipo kwenye kupata nafasi (seat)..
 
Ni kweli kabisa mtandaoni inakuwa imejaa
 
same way hata kwenye mabasiya mikoani haswa misimu ya skukuu watu hununua tiketi alafu utazinunua kwa bei kubwa ukiwa na haraka! huezi mlaumu mtu anafanya biashara na hajamzulumu mtu
Lakini kasema behewa lilikuwa tupu
 
Ponjoli na Rostam Aziz wakimtumia kibaraka wao samia bushiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…