SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

SGR Kenya sasa rasmi ni "Big white Elephant", Maneno ya " Ndii yatimia.

Kwa serikali hii siwezi kukubishia.
we wape ukwel...mi mwenyewe ikija mambo na ufisadi katika nchi yetu siwezi pinga...km ni njaa turkana na eti sijui kibera ni slum mbovu mi siwezi pinga...lkn wenzako hapa hupinga vikali km eti tanzania hakuna watu maskini...kila mtu ywala daily..
 
Mkuu,
JPM kaumiza wengi, kuna watu hawakutegemea kamwe kwamba kuna siku watakuja adhirika mtaani. Msongo wa mawazo unasumbua, unaleta presha pia, ndo husababisha matatizo ya baadhi ya sehemu za mwili kushindwa kufanya kazi vizuri...
Acha kelele nyingi, nenda kapime DNA ya mtoto wako kwanza, umepigwa bao wewe, kwa akili mbovu kiasi hicho, hakuna mwanamke atakubali kuzaa na wewe.
 
It is even more scary to Tanzania. Kumbuka production ya Kenya ni more than thrice ya Tanzania which in turn means wana mizigo mingi zaidi yetu. So if that is the case with their SGR, what will happen to ours?
Give us numbers acha kubwabwaja
 
Yaani huu mjadala baada ya kujenga hoja za maana mnaingiza siasa, Sasa nasema mm 2015 nilimpa kura magufuli ila now naomba malaika waje wamchukue magufuli waturudishie mengi.
Unaiaibisha hiyo Avatar unayoitumia.
Hata Mugabe alikuwa anafanya anayoyafanya Magufuli leo. Na tumeona jinsi Zimbabwe ilivyoendelea. And their labour force is more skilled than ours, remember?
Endeleeni na falsafa yenu ya mbuni.
Maisha ya wazimbabwe ni tofauti na ya Tanzania, wao walikuwa na wazalishaji wakubwa wachache wakati sisi wazalishaji ni wengi wadogo wadogo, hivyo ni rahisi kuuchezea uchumi wa Zimbabwe kuliko wetu.
SGR ya Magufuli feasibility study yake ilifanyika lini? World Bank walifadhili Central Transport Corridor Project (CTCP) na moja ya components zake ilikuwa ni feasibility study ya railway network. Viable solution iliyokuwa opted ni strengthening of the existing railways including TAZARA kwa kuwa SGR ilionekana haina economic viability for another 100 years kuanzia kipindi hicho. Na WB walitenga fedha ya ukarabati wa railway network iliyopo.
Kwa akili yako ndogo unaamini kila kitu wanachosema WB?
Lazima mkope tu. Hamwezi kumaliza bila ya kukopa. Tena Uchina
Ile reli tutaimalizia wenyewe ndiyomana 95% ya wajenzi ni sisi.
 
Naomba ulete proof ya hiki ulichokiandika hapa. Na usipoleta ushahidi BASI UKIRI KUWA KILA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAPASWA KUKIRI KUWA MAGUFULI, WEWE NA WOTE WENYE AKILI KAMA ZAKO HAWAJUI WAYASEMAYO.
Am waiting
Wewe nimekuomba uweke ushahidi mambo kibao lakini umeshindwa. Tafadhali weka ushahidi wa yote niliyokuomba, ikiwemo screenshot ya kwamba WB walikataa kufadhili SGR kwakisema sio viable, kwamba BRT inatengeneza hasara, na mengine yote unayosema bila ushahidi. Nimekuambia kwamba, hapa ni high capacity discussion, ukizingumza hovyo kama kichaa bila ushahidi itakugharimu sana. Andaa na ulete huo ushahidi, na Mimi nitakuketea ushahidi unaotaka.
 
Mkuu,
JPM kaumiza wengi, kuna watu hawakutegemea kamwe kwamba kuna siku watakuja adhirika mtaani. Msongo wa mawazo unasumbua, unaleta presha pia, ndo husababisha matatizo ya baadhi ya sehemu za mwili kushindwa kufanya kazi vizuri...
Hahahahaha, ni kweli unayosema, tulikua na mafisadi na wapiga dili za mjini wengi sana, watumishi hewa wengi sana, wenye vyeti feki na watumishi wazembe wengi sana, wote hao walikuwa wakihudumia familia zao, lazima madhara yawe makubwa, ila dawa ya jipu ni kilipasua, utasikia maumivu makali lakini ndio kupona kwake, poke sana kama na wewe ni miongoni mwao, lakini muda si mrefu utapona.
 
Wewe nimekuomba uweke ushahidi mambo kibao lakini umeshindwa. Tafadhali weka ushahidi wa yote niliyokuomba, ikiwemo screenshot ya kwamba WB walikataa kufadhili SGR kwakisema sio viable, kwamba BRT inatengeneza hasara, na mengine yote unayosema bila ushahidi. Nimekuambia kwamba, hapa ni high capacity discussion, ukizingumza hovyo kama kichaa bila ushahidi itakugharimu sana. Andaa na ulete huo ushahidi, na Mimi nitakuketea ushahidi unaotaka.

Nimekupa link (na kuna mtu aka-comment kuhusu hiyo document) what else do you need? Huwezi ukasoma mwenyewe? Juu ya UDART kuwa inaendeshwa kwa hasara hilo lipo wazi unless umekuwa usingizini the past three years. Otherwise kulikuwa na sababu gani ya yule Muisraeli kushauri kubadilishwa kwa revenue model? Kwa nini wameshindwa kuyatoa magari yaliyopo bandarini? Subiri watoe hesabu zao ujue kiwango halisi cha hasara.

Well, am wasting my time trying to educate an incorrigible because based on what you have been posting here it is apparent that you can't reason rationally.
 
Nimekuambia hiyo document nimeipitia na sijaona sehemu yoyote ile unayosema WB imekataa kutoa pesa kwasababu project is not viable, nimekuomba utuletee screenshot ya hiyo sehemu kama kweli IPO, lakini umeshindwa.

Kuhusu BRT huna ushahidi wowote badala yake unaunganisha mambo, eti" Kwanini muisrael alishauri .... mara kwani mabasi yapo bandari ni...huo ndio ushahidi wa kuthibitisha hasara?. Well, kwani wewe tarehe za kujifungua mkeo hazikuenda na Expected date of delivery (EDD), jiulize hilo na utagundua ukweli ninaokuambia, sio Mtoto wako yule umeliwa. Hivi hizi taarifa za utafiti zilizoonyesha kwamba zaidi ya 40% watoto, sio baba zao halisi unadhani zinamuhusu nani?. Ni watu wenye vichwa vibovu kama Wewe.
 
I like your opening words because they imply you don't think. So, the Kenyan Shilling is fixed? Let me get you busted. I hope you understand English; so read here:

The Kenyan shilling was first introduced in 1966 to replace the East African shilling. ... The Central Bank ofKenya manages the nation's currencyand allows its exchange rate to float freely against others in the global forex market. 4 days ago
View attachment 1113878
https://www.investopedia.com › forex

Look how the failed state practicing the aggressive accounting.

A report titled ‘Kenya’s Economic Puzzle-Putting the pieces together’ insinuates that the CBK has not been operating a free float currency.
 
Quoting your own source; does the following suggest a fixed rate?

On Wednesday, Reuters reported that the Kenya shilling weakened due to increased dollar demand from oil importers.

As at 0649 GMT, commercial banks quoted the shilling at 101.05/25 per dollar, compared with 100.95/101.05 at Tuesday’s close.
 
Yani hata haijapita mwaka mmoja na nusu tangu SGR kenya ianze kazi na jamaa washamalizia kua haina faida na ni big white elephant!
 
Free float policy is on papers. But the truth is......
A report titled ‘Kenya’s Economic Puzzle-Putting the pieces together’ insinuates that the CBK has not been operating a free float currency policy.
 
Mh,kama ni kweli kuna kitu cha kujifunza hapa kwa huku kwetu tz,tatizo kwani ni nini zaidi mkuu hadi mradi unashindwa kujiendesha wenyewe,ina maana wataalam hawakupiga hesabu zao vizuri kweli?
 
Free float policy is on papers. But the truth is......
A report titled ‘Kenya’s Economic Puzzle-Putting the pieces together’ insinuates that the CBK has not been operating a free float currency.

Check the meaning of "insinuation" in your dictionary. And does the CBK order commercial banks to quote the currency at the rate they do? The Central Bank may intervene, Yes, But fix the rate?? Not a chance.
 
Yani hata haijapita mwaka mmoja na nusu tangu SGR kenya ianze kazi na jamaa washamalizia kua haina faida na ni big white elephant!
Haya mambo huwa ni mahesabu, sio mambo ya kusubiria ili uone kitakachotokea, hesabu za kiuchumi zinaonyesha kwamba hii train haitaweza kubudu hata kuzalisha gharama za kujiendesha, kwasababu gharama za uendeshaji ni kubwa mno ukilinganisha na nauli za kusafirisha mizigo, vinginevyo italazimika kutoza Mara tatu ya gharama za Malory ili kuweza kujiendesha, jambo ambalo hakuna mfanyabiashara atakubali.
 
Check the meaning of "insinuation" in your dictionary. And does the CBK order commercial banks to quote the currency at the rate they do? The Central Bank may intervene, Yes, But fix the rate?? Not a chance.

Ahaaa haaa haaa
In a floating exchange rate policy we espect a very minimum government intervention. But the report says that.... the CBK has not been operating a free float currency policy.
 
Ahaaa haaa haaa
In a floating exchange rate policy we espect a very minimum government intervention. But the report says that.... the CBK has not been operating a free float currency policy.

Believe whatever you wish. Doesn't change the reality.
 
Haya mambo huwa ni mahesabu, sio mambo ya kusubiria ili uone kitakachotokea, hesabu za kiuchumi zinaonyesha kwamba hii train haitaweza kubudu hata kuzalisha gharama za kujiendesha, kwasababu gharama za uendeshaji ni kubwa mno ukilinganisha na nauli za kusafirisha mizigo, vinginevyo italazimika kutoza Mara tatu ya gharama za Malory ili kuweza kujiendesha, jambo ambalo hakuna mfanyabiashara atakubali.
Hizo ni hesabu zako wewe na Ndii, Hesabu za ESIA zinaonyesha tuko right on track

1115172
 
Mh,kama ni kweli kuna kitu cha kujifunza hapa kwa huku kwetu tz,tatizo kwani ni nini zaidi mkuu hadi mradi unashindwa kujiendesha wenyewe,ina maana wataalam hawakupiga hesabu zao vizuri kweli?
Kenya ni nchi ya ajabu sana,walishauriwa Mara nyingi sana na wataalamu lakini hawasikilizi, viongozi wao huwa wanafanya mambo kiushabiki sana wa kupata umaarufu, kama ujuavyo tabia yao ya kupenda umaarufu na kujisifia, makosa wanayofanya, hata mtu wa kawaida wa mtaani hawezi kuyafanya, sikiliza hii clip utagundua makosa katika huu mradi wao wa SGR.
 
Back
Top Bottom