komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
we wape ukwel...mi mwenyewe ikija mambo na ufisadi katika nchi yetu siwezi pinga...km ni njaa turkana na eti sijui kibera ni slum mbovu mi siwezi pinga...lkn wenzako hapa hupinga vikali km eti tanzania hakuna watu maskini...kila mtu ywala daily..Kwa serikali hii siwezi kukubishia.