Waltham,
Firstly, congratulations for that move. Ni hatua nzuri kwakweli ambayo nadhani ikifanyika hapa Tz hasa kule Dodoma kwenye mahekari ya mapori ya virgin fertile land basi Tz itakuwa ni level nyingine, but kwa sasa hatuhitaji such projects maana tunajitosheleza kwa chakula na tuna akiba ya kutosha, na bado hatua soko la kueleweka,
Na kwa uwekezaji wa hiyo project, besides the fact that it wont cut your maize deficit, ni obvious those maize will be very expensive, and you may come back to tz for cheap maize. (Sisi hatutumii gharama kubwa kulima mahindi ndiyo maana tunawauzia kwa bei ya kisela)
Again I am very Hapy that you guys will come here for raw materials (hydrocarbons) kwa hiyo kiwanda yenu ya mbolea.. As you are aware tz have more than 60bn tcf natural gas deposits, n explorations suggest more hundreds of thousands tcfs underneath..or u will buy cheap fertilizers from our plant being built in Lindi.(Largest fertilizer plant in Africa)
Karibuni sana tufanye biashara..
Kwaiyo brother kutegemeana kwetu kuko pale pale boss, there is no way u Kenyans will run away from tz.
When it comes to agriculture,
We are your brothers, and we will always be,
Na usidhani tunauza mazao yetu Kenya tu,
We are exporting to Zambia, Congo Malawi pia..n.k
Fahamu 80% ya watz are farmers, huku kilimo ni utamaduni wetu, whether we make profit or loss, we will cultivate the Land,
Yaani huku kila mtu ni mkulima ndio maana food security ni uhakika.
Mimi binafsi kila msimu ni Lazima niandae ekari 10 za mahindi na mbili za mbogamboga..
Kwa sababu ardhi tunayo ya kutosha..
Yaani nakwambia huku Tz ukifika msimu wa mazao huwa ni vurugu, watu wanajaza maghala hadi wanaacha mazao nje.
Hebu ona hawa wanavijiji wa kipato cha chini tz, toka vijijini mkoani iringa wakijishughurisha na kilimo cha mahindi..
View attachment 385895View attachment 385896View attachment 385898
Sasa hawa wakulima (subsistence) ni karibu kila kaya katika vijiji vya mikoa ya Iringa, mbeya, rukwa, katavi, songea na Morogoro, na mikoa mingine ya Tz....imagine the output..
View attachment 385900View attachment 385901
I know you know this guy..
Former Prime Minister Mizengo Pinda Akiwa shambani kwake Sumbawanga..
View attachment 385902View attachment 385903
Tazama mavuno ya huyu bwana Pinda.
View attachment 385904View attachment 385905
Dear Kenyans, any time you run out of food , karibuni tu, we are brothers.