SGR ndiyo project ya kwanza Black Kenya!

SGR ndiyo project ya kwanza Black Kenya!

Samahani mkuu,
At meantime we don't have data,
We only have food.
Just keep your unreliable data.. (u know it)
Your guys are untrustworthy, u cook and manipulate the way u can just to make graphs impressive..hehehe.
Wakati people in turkana don't need those numbers but food.
anyway , nikipata those numbers I will bring.

Now you going bonkers just like the other crazy guys from tz. are you a teen just from high school. I highly guess you are. In in your crazy world you don't know the use and importance of data I am done with you. Good luck!!

lake turkana wind farm!!

SeyG7ANh.jpg

eByP15Rh.jpg

AwdSKjYh.jpg

zreIs3Dh.jpg

SMxxqU4h.jpg

YBwMpS7h.jpg

pCCh7IUh.jpg

0luL8Rih.jpg

Jc7YEVVh.jpg

RYy1VbB.jpg

sps6pL4.jpg

2CSrnmW.jpg

Nick Hailey
 
Ni msahaulifu sana wewe jamaa,
Umeshasahau juzi tu mmekanyagwa vichwani na kuburuzwa na wenzenu kuuawa na polisi wenu??
Halafu siasa gani hizo za Kenya?
Hizo siasa za corruption na ukabila?
mnasema mmepata katiba mpya, inayowafanya mafisadi kutumia hovyo public funds hadi kupelekea mnakimbizana na naijeria kwenye corruption index,
Hehehe, once again you are the champions,

Naombea sana uchaguzi wenu uende vizuri, maana kwa hiyo mihemko yenu na hurka za Shari huenda mkarudi kwenye Dark ages tena.

Taratibu mtafaulu kujikomboa na kutoka kwenye dark age kama tulivyokua miaka 20 iliyopita. Usilinganishe isolated cases za kwetu na mahali mlipo. Fahamu matukio ya polisi kujisahau hutendeka hata Marekani.

Mimi nimefuatilia sana siasa za EAC yote na kweli Kenya tumepiga hatua kubwa. Hakuna size yetu kwenye huu ukanda wote. Tumetoka mbali.
 
Nchi ya Kenya chini ya Waafrika wa Kikenya, haijawahi kujenga mradi mkubwa wowote tangu Uhuru, kila kilichokuwepo kilijengwa na Wazungu, hivyo hii SGR ndiyo mradi wa kwanza wa Black Kenya kwa miaka zaidi ya 50!

Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!
Ni msahaulifu sana wewe jamaa,
Umeshasahau juzi tu mmekanyagwa vichwani na kuburuzwa na wenzenu kuuawa na polisi wenu??
Halafu siasa gani hizo za Kenya?
Hizo siasa za corruption na ukabila?
mnasema mmepata katiba mpya, inayowafanya mafisadi kutumia hovyo public funds hadi kupelekea mnakimbizana na naijeria kwenye corruption index,
Hehehe, once again you are the champions,

Naombea sana uchaguzi wenu uende vizuri, maana kwa hiyo mihemko yenu na hurka za Shari huenda mkarudi kwenye Dark ages tena.

I seek to refresh your mind. hawa polisi ni wa nchi gani. huyu mwana habari matumbo yake yalimwagua nje kinyama na nani!

340677346.JPG

9.JPG
 
Sasa nyinyi iyo project ya umeme wa jua. Apa Tanzania tulishafanya kitambo sana.
Nyinyi ngojea mwaka kesho katika uchaguzi Lazima damu imwagike ya kutosha.
 
Sitapoteza muda mwingi kukujibu maana ni kama huwa unavuta mmea fulani, maana hii mada huwa unaibuka nayo kwa mwezi mara moja, mwanzoni tulihangaika kukuelimisha, tukakuletea data nyingi tukitegemea utakua na akili. Lakini baada ya mwezi mmoja unarudia hoja ile ile huku ukitumia kichwa tofauti.

Kifupi ni kwamba nchi yetu ya Kenya tumejijengea wenyewe, tulishaorodhesha humu miradi yote ambayo imekua ikiendelea Kenya. Sina haja ya kuyarudia yote. Lakini miaka ya themanini tulicheleweshwa na chama tawala dhalimu cha wakati ule, kama jinsi Tanzania inacheleweshwa na CCM hadi leo. Tanzania ya leo inayojinadi ya kubana matumizi, mnajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini maeneo ya Chato ambapo hamtegemei mtu yeyote wa kimataifa kutua pale. Bora hata mngeboresha Bukoba iwe ya kimataifa. Mambo kama hayo ndio yalituchelewesha sana kipindi cha uongozi wa chama tawala cha wakati ule.

Lakini punde tu, tulipokibadilisha na kukipiga chini hicho chama, Kenya ilipepea na kuiacha Tanzania kwenye vumbi na lindi la umaskini. Hata Tanzania itawabidi mfikie huo uamuzi, ikiwezekana kwenye uchaguzi wa 2020 hapo ndio mtaona nchi inaanza kupiga hatua za kweli. Lakini kwa sasa mtaendelea kuona vioja na ukurupukaji wa hali ya juu, mara mnahamia Dodoma, mara naona eti Makonda kasema watu wa Mikoani msije Dar bila sababu maalum, mara watu wasiokua na kazi wahesabiwe Dar, mara kushtukiza kule mara hiki, mara kile, yaani hakuna mikakati, hakuna mpango wowote, ni kukurupuka full kwenda mbele.
Umenena sana kiongozi, viongozi wa nchi wana impact kubwa sana katika maendeleo ya Taifa kwasababu wao ndiyo wafanya maamuzi wa mwisho katika kila jambo liwe la manufaa ama lah!!. Nilikua nina imani sana na uongozi uliopo sasahivi lakini nimejikuta nakatishwa sana tamaa na maamuzi ya kushtukiza ya kila kukicha kwa mfano unaamua tu kuanzia leo tufanye jambo A,B na C bila mpango mkakati wowote bila hata uchambuzi wa matokeo yake kiuchumi, Nimeshangazwa sana na matamko ya Viongozi wakuu kabisa kuamua Serikali yote ihamie Dodoma haraka iwezekanavyo as if kuhamia Dodoma ni suala la kuwasha magari na kuelekea huko, Wamesahau kwamba pamoja na miundombinu ya Dar ambayo ipo advanced kuliko Dodoma bado imekua haitosherezi wizara zote kutekeleza majukumu yake, itakuwaje kwa Dodoma iwapo tutahamia ndani ya hii miezi kadhaa kama nilivyo muelewa Waziri mkuu? Rais alisema ndani ya kipindi chake kilicho baki atajitahidi Serikali yake iwe imehamia Dodoma, aliyekuja kuvuruga kabisa ni huyu wa pili akadai ndani ya miezi kadhaa bila kujali kwamba suala hili linahitaji mipango ya kifedha(Bajeti) iliyojikita kwa kuangalia faida na hasara za maamuzi haya ya ghafla kwa kipindi cha mda mfupi na mrefu.

Mimi binafsi Kuanzia sasa nimeacha hata kufikiria ishu zangu kubwa za kimaendeleo nasubiri kuusoma upepo kwanza maana sijui kesho wataamkaje na watasemaje, maana wasije wakadai kuanzia sasa ni marufuku ufugaji wa kuku kufanyika karibu na makazi ya watu na atakaye kamatwa atiwe ndani haraka. Hii ni kwa mtu mdogo kama mimi vipi kwa wawekezaje wakubwa? nani anaweza ku-riskisha uwekezaji wa mabilioni ya fedha katika nchi ambayo uongozi wa juu hautabiriki kesho utaamua nini?
 
Waltham,
Firstly, congratulations for that move. Ni hatua nzuri kwakweli ambayo nadhani ikifanyika hapa Tz hasa kule Dodoma kwenye mahekari ya mapori ya virgin fertile land basi Tz itakuwa ni level nyingine, but kwa sasa hatuhitaji such projects maana tunajitosheleza kwa chakula na tuna akiba ya kutosha, na bado hatua soko la kueleweka,

Na kwa uwekezaji wa hiyo project, besides the fact that it wont cut your maize deficit, ni obvious those maize will be very expensive, and you may come back to tz for cheap maize. (Sisi hatutumii gharama kubwa kulima mahindi ndiyo maana tunawauzia kwa bei ya kisela)
Again I am very Hapy that you guys will come here for raw materials (hydrocarbons) kwa hiyo kiwanda yenu ya mbolea.. As you are aware tz have more than 60bn tcf natural gas deposits, n explorations suggest more hundreds of thousands tcfs underneath..or u will buy cheap fertilizers from our plant being built in Lindi.(Largest fertilizer plant in Africa)
Karibuni sana tufanye biashara..

Kwaiyo brother kutegemeana kwetu kuko pale pale boss, there is no way u Kenyans will run away from tz.

When it comes to agriculture,
We are your brothers, and we will always be,
Na usidhani tunauza mazao yetu Kenya tu,
We are exporting to Zambia, Congo Malawi pia..n.k
Fahamu 80% ya watz are farmers, huku kilimo ni utamaduni wetu, whether we make profit or loss, we will cultivate the Land,
Yaani huku kila mtu ni mkulima ndio maana food security ni uhakika.
Mimi binafsi kila msimu ni Lazima niandae ekari 10 za mahindi na mbili za mbogamboga..
Kwa sababu ardhi tunayo ya kutosha..

Yaani nakwambia huku Tz ukifika msimu wa mazao huwa ni vurugu, watu wanajaza maghala hadi wanaacha mazao nje.

Hebu ona hawa wanavijiji wa kipato cha chini tz, toka vijijini mkoani iringa wakijishughurisha na kilimo cha mahindi..

View attachment 385895View attachment 385896View attachment 385898

Sasa hawa wakulima (subsistence) ni karibu kila kaya katika vijiji vya mikoa ya Iringa, mbeya, rukwa, katavi, songea na Morogoro, na mikoa mingine ya Tz....imagine the output..
View attachment 385900View attachment 385901

I know you know this guy..
Former Prime Minister Mizengo Pinda Akiwa shambani kwake Sumbawanga..
View attachment 385902View attachment 385903
Tazama mavuno ya huyu bwana Pinda.
View attachment 385904View attachment 385905

Dear Kenyans, any time you run out of food , karibuni tu, we are brothers.
i have now seen the difference btwn kenya and tz...ati kwa sasa hatuhitaji project izo.iyo statement sijawai isikia kabisa huku,how i wish hiyo land yenu yenye rotuba tungepewa sisi.mngeshangaa
 
i have now seen the difference btwn kenya and tz...ati kwa sasa hatuhitaji project izo.iyo statement sijawai isikia kabisa huku,how i wish hiyo land yenu yenye rotuba tungepewa sisi.mngeshangaa
Amateurism inakusumbua wewe,

Mngepewa mngewapa mabwana zenu wazungu as usual, that's why God didn't give you,
Ardhi yetu yenye rutuba iache ikae hata 100 years wajukuu wetu watakuja ifaidi.

And the difference is that,
Tz mahindi tunalisha nguruwe while kenya wengi wenu mnapata mlo mmoja/day.
 
hujui waongea nini wewe..baki apo ukiongelea mabwana tu wakati nchi yako hakuna lolote inafanya kufikia sasa.bado ni LDC na hiyo rotuba mnayojisifia.ingekuwa mnajielewa msingejilimbikizia ulimbukeni wa sifa za ovyo hati mahindi mnalisha nguruwe....ndio iweje.tumia hiyo ardhi mkuze mimea mingine itakayowasukuma mbele kama taifa.ni heri tuwe na jangwa letu tujizatiti kadri ya uwezo wetu,nguvu zikituishia tutanunua,ukikataa kuuza lisha nguruwe tutanunua kwingine.wachina wamewafanya shamba la bibi alafu wajidai waona wenzako....bwege sana hebu enda shambani ulime uache uvivu na justifications kuwa hamuhitaji project za uzalishaji chakula
 
Nchi ya Kenya chini ya Waafrika wa Kikenya, haijawahi kujenga mradi mkubwa wowote tangu Uhuru, kila kilichokuwepo kilijengwa na Wazungu, hivyo hii SGR ndiyo mradi wa kwanza wa Black Kenya kwa miaka zaidi ya 50!

Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!
Alietangulia katangulia tu,, acha kutupa maneno ya kujipa moyo, Tupo nyuma kupita kiasi,,,, huwezi kulinganisha na Kenya... Labda tunachowazidi ni rasilimali na amani tu
 
Wachana na huo Barabosa is a big idiot.....Tanzania bado iko nyuma sana....we are competing with S.Africa, Egypt and Nigeria achana na hawa washamba who cannot even speak one sentence in English.
 
Alietangulia katangulia tu,, acha kutupa maneno ya kujipa moyo, Tupo nyuma kupita kiasi,,,, huwezi kulinganisha na Kenya... Labda tunachowazidi ni rasilimali na amani tu
Wachana na huo Barabosa is a big idiot.....Tanzania bado iko nyuma sana....we are competing with S.Africa, Egypt and Nigeria achana na hawa washamba who cannot even speak one sentence in English.
 
hujui waongea nini wewe..baki apo ukiongelea mabwana tu wakati nchi yako hakuna lolote inafanya kufikia sasa.bado ni LDC na hiyo rotuba mnayojisifia.ingekuwa mnajielewa msingejilimbikizia ulimbukeni wa sifa za ovyo hati mahindi mnalisha nguruwe....ndio iweje.tumia hiyo ardhi mkuze mimea mingine itakayowasukuma mbele kama taifa.ni heri tuwe na jangwa letu tujizatiti kadri ya uwezo wetu,nguvu zikituishia tutanunua,ukikataa kuuza lisha nguruwe tutanunua kwingine.wachina wamewafanya shamba la bibi alafu wajidai waona wenzako....bwege sana hebu enda shambani ulime uache uvivu na justifications kuwa hamuhitaji project za uzalishaji chakula
Wachana na huo Barabosa is a big idiot.....Tanzania bado iko nyuma sana....we are competing with S.Africa, Egypt and Nigeria achana na hawa washamba who cannot even speak one sentence in English.
 
Wachana na huo Barabosa is a big idiot.....Tanzania bado iko nyuma sana....we are competing with S.Africa, Egypt and Nigeria achana na hawa washamba who cannot even speak one sentence in English.

hujui waongea nini wewe..baki apo ukiongelea mabwana tu wakati nchi yako hakuna lolote inafanya kufikia sasa.bado ni LDC na hiyo rotuba mnayojisifia.ingekuwa mnajielewa msingejilimbikizia ulimbukeni wa sifa za ovyo hati mahindi mnalisha nguruwe....ndio iweje.tumia hiyo ardhi mkuze mimea mingine itakayowasukuma mbele kama taifa.ni heri tuwe na jangwa letu tujizatiti kadri ya uwezo wetu,nguvu zikituishia tutanunua,ukikataa kuuza lisha nguruwe tutanunua kwingine.wachina wamewafanya shamba la bibi alafu wajidai waona wenzako....bwege sana hebu enda shambani ulime uache uvivu na justifications kuwa hamuhitaji project za uzalishaji chakula
 
your

I don't really get the bottom line calling me out but I will give it to you, you seem to be a guy who has a good grasp of words and debate decorum!!
Tanzania bado iko nyuma sana....Kenya is competing with S.Africa, Egypt and Nigeria achana na hawa washamba who cannot even speak one sentence in English.
 
Tanzania bado iko nyuma sana....Kenya is competing with S.Africa, Egypt and Nigeria achana na hawa washamba who cannot even speak one sentence in English.
Hahahaha, which SA jamaa, nyie huwa mnachekesha sana,
Eti Egypt, you seem not to have any idea of what you are saying,
Anyway hongera kwa kuwa developed country,
Tz iko poor na hakuna aliyebishia hilo,
But ni vigumu sana kumdanganya jirani yako.
Jirani ndiye anaekujua nje ndani.
 
Tanzania bado iko nyuma sana....Kenya is competing with S.Africa, Egypt and Nigeria achana na hawa washamba who cannot even speak one sentence in English.
Very good mindset, very surprising reasoning..
Speaking English means what ??
 
Wachana na huo Barabosa is a big idiot.....Tanzania bado iko nyuma sana....we are competing with S.Africa, Egypt and Nigeria achana na hawa washamba who cannot even speak one sentence in English.
Nyie wapuuzi amuwezi kuongea Kiswahili
 
Back
Top Bottom