SGR ya Kenya inabeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa nauwezowa tonne 10,000 za mzigo.

excellent
 
Ume tumia nguvu nyingi sana kuelewesha kitu simple sana. Hapa ukweli nikwamba reli ya Kenya imetengenezwa kuimili mzigo usiozidi tonne 4,000 na ya Tanzania mzigo usiozidi tonne 10,000. Namimi kwakukuelimisha kwa kutumia barabara. Nisawa sote tujenge Barabara lakini nyie mtengeneze light grade roads nasisi tutengeneze heavy grade roads. Ikiwa na maana mzigo unaopita kwenye heavy grade road huwezi pitisha kwenye light grade. Lazima pia ujue matuta ya reli utafautiana kwenye base. Base mliyotumia niyakuimili 4,000 tonnes lakini ya kwetu itaimili 10,000 tonnes. Pole sana kwakutumia nguvu nyingi sana kuandika utumbo
 
Nitazidi kulinganisha. Nakuna taarifa nyingine naileta hapa muda simrefu. Mtanyooka mwaka hu na Uhuruto
 
Bora hata wao washaiona na kuanza kuitumia ya kwetu ipo kwny makaratasi mipicha picha tu


Acha kuongea huko same vichakani bila kujua nini kinachofanyika huku pugu ambako ndo mradi umeanzia,,njoo pugu na mlandiz uone maturuki walivyobize kuweka utaratibu wote wa campu za ujenzi was mradi cyo kuongea usichokijua,,,,ww andaa nauli ya kuwa unafanya utalii was kwenda mza na kurudi Sikh hiyo hiyo baada ya mradi kukamilika
 

Kuna mtu aliniamba eti wakenya wengi wamesoma kumbe elimu yenyewe ndo hii ya kutojua mambo,,,,,,Uhuru on making private money with Chinese, mtanyooka tuu na hiyo miradi ya SGR ya kichina ambayo mmepigwa mazuzu nyie
 
Acha kupotosha watu bwege wewe hata tuta halijawekwa unatutoa ufahamu etii umeanza wapi


We we ubishi wako siyo wa kujua kua reli ilishaanza ila unabisha ili upewe ukweli kama kweli umeanza maana shida yako in ajira sasa unabisha kwa hasira kwa kujua ulitaka ajira ukiwa mbali ukijua mradi ukianza basi unapojengwa unaonyeshwa live kama bunge,,,,toka hapo machakani Singida nenda pugu jamaa wanakata pori kwa ujenzi kuiacha pugu,,,,,huku dar wanakuja kumalizia tuuu,,endelea kubisha Bendera wewe
 
M mwenyewe nawashangaa hawa wanaowacheka wakenya wakati wenzao saivi wanaisikia inakata mbuga tu cc tunaonyeshwa picha tu cjui tutapanda kwe izo picha toka moro to dsm

SGR ya Kenya ya kutumia diesel ndo unataka kulinganisha na ya tz,,,,

Tofauti ya SGR ya Kenya na Tz ni hii hapa ndo ujue ya kenya bado ya kizamani,,


A: -Ya kenya ni km zisizozidi 500
- Ya Tz ni zaid ya km1200

B: - Ya Kenya itabeba 4000tonnes kwa wakat Fulani
- Ya tz itabeba 10000tonnes kwa nyakat fulani

C: - Ya kenya itatembea km80 kwa saa
- Ya tz itatembea km160 kwa saa

D: -Ya Kenya itatumia diesel na siyo umeme
- Ya Tz itatumia umeme

E: - Ya Kenya inatoka Mombasa to Nairobi tu,
- Ya tz itaunganisha nchi za uganda ,Burundi na Rwanda baada ya kufika Mwanza
 
Unajikakamua sana ndezi wewe Hakuna Kitu kama hicho Mm naishi Pugu kawadanganye wanyaturu wenzako bwege kweli wewe
 
Unajikakamua sana ndezi wewe Hakuna Kitu kama hicho Mm naishi Pugu kawadanganye wanyaturu wenzako bwege kweli wewe


Kweli mbulura kumuelimisha Nazi saana baki hapohapo pugu unadoea supu za mbuzi ukisibir kazi huko wenzako wanaendelea na kazi
 
Unajikakamua sana ndezi wewe Hakuna Kitu kama hicho Mm naishi Pugu kawadanganye wanyaturu wenzako bwege kweli wewe
Wewe uishi pugu. Utakuwa uko mjiwambari sana. Kama simu yako INA application ya YouTube andika Rahco Millard ago iliujue kinachoendelea Pugu. Kwa statement yako watu wa Pugu wanakushangaa sana. Acha ushamba usichojua kaa kimia soma pita kimia kimia
 
Kweli mbulura kumuelimisha Nazi saana baki hapohapo pugu unadoea supu za mbuzi ukisibir kazi huko wenzako wanaendelea na kazi
Mnajua maana ya mradi kuanza mabwege nyie eti millard ayo hizo nyumba za kulala ndio reli mapunga nyie
 
Kunajamaa analeta mifano ya India bila kujua India inaongoza duniani kwa kuwa na treni za zamani. Tuliwapa shilika letu kipindi chanyuma wakashindwa. India
 
Wewe uishi pugu. Utakuwa uko mjiwambari sana. Kama simu yako INA application ya YouTube andika Rahco Millard ago iliujue kinachoendelea Pugu. Kwa statement yako watu wa Pugu wanakushangaa sana. Acha ushamba usichojua kaa kimia soma pita kimia kimia
Unitumie makalio punga wewe wekeni ya reli hapa kama ilivyo fly over
 
Kila kjtu ulochandika hapa ni upuzzy mtupu.
 
Kiswahili naona kinakupa tabu kuandika. Sasa kama huna application ya youtube utaangalizia wapi atatukiweka.
Unitumie makalio punga wewe wekeni ya reli hapa kama ilivyo fly over
 
Nimekueleza trailing load inamaanisha nini, bado unarudi kwa reli........
Iweje basi reli ya kenya inaweza kubeba hadi 35mln tonn kwa mwaka wakati ya Tz inafika 18Mln tonnes hapa lighter rail ni ghani jameni,

Tena isitoshe chuma kilichotumika kujenga reli ya kenya kina uzito wa 60 kg/m wakati kule turkey (ambao ndo wanawajengea reli yenu) wanatumua chuma cha uzito wa 49 kg/m... Hebu niambie tena ghani ndo light hapo na ghani ndo heavy ????

Kama bado hujashika maana ya trailing road, hebu nikuulize unajua kwanini lory ndefu lina matairi mengi?????
 
I don't need to read this article or research on anything but one thing I'm sure of, some bongolala misunderstood something.
 
I don't need to read this article or research on anything but one thing I'm sure of, some bongolala misunderstood something.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…