SGR ya Kenya inabeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa nauwezowa tonne 10,000 za mzigo.

SGR ya Kenya inabeba tonne 4,000 wakati ya Tanzania itakuwa nauwezowa tonne 10,000 za mzigo.

Acha kupotosha watu bwege wewe hata tuta halijawekwa unatutoa ufahamu etii umeanza wapi
Wewe kweli mshamba. Unaweza kujenga nyumba,gorofa au barabara bila kuwa na vipimo?? Ujawahi sikia barabara Fulani itakuwa nauwezo wakubeba tonne Fulani au daraja kabla yakujengwa!! Utakuwa naakili ya kuvuka barabara tu katika akili zako zote.
 
Wewe kwa akili zako hata tukiamua kuendana na hiyo reli yenu ya kwenye karatasi au khanga unafikiria uwezo wa kuburuza mizigo tani 10,000 hapo kibongobongo mtatoa wapi.
the guy has no clue what he is talking about ,

the first article is very clear that the kenyan sgr can carry about 4000 tonnes of containers (216 twenty foot containers double stacked in one train), containers is the key word, the kenyan sgr can carry much more than 10 000 tonnes of bulk cargo (not containers)

the second article he quotes says that tanzanian cargo trains can carry only 100 single stacked containers , so somebody should explain to us how 100 single stacked containers can carry 10000 tonnes when 200 containers can carry only about 4000 tonnes,
they are directly using the total bulk cargo tonnage (not container tonnage)
 
Leo asiyewasomesha wazazi amefanya ziara ya kustukiza pale bandarini na kupata vichwa vya treni ambavyo eti havina mwenyewe[emoji2] [emoji2]...hahaa waswahili mtaacha haya maigizo lini? View attachment 534144
Vilikuwa vishushwe Mombasa bahati mbaya wenye meli walichanganya bandari. Nasikia nivibovu kweli. Mje mchukue mzigo wenu. Hahaaaaa
 
Mbona hiyo video ya Rahco Millard Ayo huwa unaambia watu tuingie, kila nikiingia huwa naona ni stori stori tu. Jamaa wapo wanatolea maelezo maelezo mengiiii, tunataka kuona action/moshi sio hadithi. Mlituzungusha hivi kwenye bandari ya Bagamoyo, stori nyingi kwamba ndio ze ze largest port, hatimaye kimyaaaaa.

Sisi leo hii tunasafiri kwa SGR, kitu cha kuonekana kwa macho sio hizo ze ze ze zenu.
Moshi wenu ulichukua miaka mingapi kuonekana? Ebo, au na sisi unataka tufanye mambo ya kiwizi wizi kama nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe kweli mshamba. Unaweza kujenga nyumba,gorofa au barabara bila kuwa na vipimo?? Ujawahi sikia barabara Fulani itakuwa nauwezo wakubeba tonne Fulani au daraja kabla yakujengwa!! Utakuwa naakili ya kuvuka barabara tu katika akili zako zote.
Katafute wa kuwadanganya mliweka jiwe la msingi usanifu au kuanza ujenzi na zile pesa mlizomuomba zuma mmeshapewa
 
Wapi wameandika
the guy has no clue what he is talking about ,

the kenyan sgr can carry about 4000 tonnes of containers (216 twenty foot containers double stacked in one train) containers is the key word, the kenyan sgr can carry much more than 10 000 tonnes of bulk cargo (not containers)

the article he quotes says that tanzanian cargo trains can carry only 100 single stacked containers , so somebody should explain to us how 100 containers can carry 10000 tonnes when 200 containers can carry about 4000 tonnes,
wapi wameandika single stacked containers kwenye article ya Tanzania nionyeshe. You can change nothing huo ndoukweli. 10,000 tonnes by 4,000 tonnes is confirmed in both articles. Fanya research yako uludi kivingine lakini usitafsiri kiswahili kama Kikuyu au kijaluo au luo.
 
Mnajifariji wakati Mchina kawananili bila hatakutumia mafuta ya vasellin
acha maneno weka mziki.....
lcb3qlO.jpg
 
Hiyo screen shot sio maneno ya waziri. Ni BBC chanzo chauwakika baada ya mimi kujiongeza ilikujua kama alicho sema waziri nikweli. Unapatwa nakizungu zungu!! Pole. Kenyaaa Ooooh Kenyaaaa
Screenshot_2017-07-01-10-47-49.png
Screenshot_2017-07-01-10-47-14.png
Mbona unaniquote mara mbili, tulia ujibu taratibu, nimekuuliza data sio maneno maneno ya waziri. Unatuletea screenshot za maneno ya kwenye khanga. Jifunze kujadili mada kitaalam kama ulibahatika kuingia darasa la shule.
Tuletee hapa data zinazodhihirisha kwamba mtaburuza tani 10,000, kwa kifupi mtatumia locomotive na behewa zipi hizo zitakazovuta tani kiasi hicho kwenye gauge mnayosema mtatengeneza n.k. Mengine yote ni bla bla.
 
Great! just another compare and contrast thread...huwa hamchoki na hii mambo ya 'nchi yetu bora' 'yenu mbaya'..mara sisi ndio bor, nyie ni bure....duh! I'm starting to think that South African guy was right by saying Africans we are cursed...you guys wake up...while you are comparing the littl you have, other nations are like a century ahead of us in almost everything...while we are celebrating a railway barely 2 months old, some ppl have had electric trains plying to and from their country for decades...ushindani ni kitu kizuri ila cant we just get along briefly and try to emulate the more developed nations?

I already know how this will end.....this is how it goes...a guy starts a compare and contrast thread...both sides jump in bila mpango ili kutetea nchi yao...mwishowe watu wanatema povu...usiku unafika watu wanaenda kulala kila moja akifikiri ameshinda...next morning the cycle continues..I've seen this many times...it always ends the same...there is no winner...

pengine tunaogopa tusipolinganishana hatutakuwa na chochote cha kujadili hapa JF ila hio si kweli...trust me I have been to Skyscrapercity and Quora and there isnt such behavior but there are still a lot of things to discuss at the end of the day...

sisi mbilikimo tunapigana hapa kila uchao wakati jamaa warefu wanacheza basketball kule NBA na kutengeneza mabilioni ya pesa...duh!
nikimalizia, jiburudishe na hii video ya nairobi mombasa railway jumapili hii

Dude, hii vita mliianzisha nyie, especially wewe, hapo zamani kila siku ulikuwa unataka haya mambo! Habari za kutwambia eti ulienda quora umebadilika sio issue!

BTW hata hizo nchi za ulaya na marekani wanabishana kila siku, japokuwa wao ubishi wao sa hizi imeahamia kwenye teknolojia! Lakini wanabishana kweli kweli
 
Leo asiyewasomesha wazazi amefanya ziara ya kustukiza pale bandarini na kupata vichwa vya treni ambavyo eti havina mwenyewe[emoji2] [emoji2]...hahaa waswahili mtaacha haya maigizo lini? View attachment 534144
Acha uongo wako hapa! Rais anenda kuzindua upanuzi wa bandari we unasema kafanya ziara ya kushtukiza! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

BTW, Nahisi umehamia SA maana hao makaburu wako tumewafunga kwao na ulisema tukiwafunga itahamia SA!
 
Moshi wenu ulichukua miaka mingapi kuonekana? Ebo, au na sisi unataka tufanye mambo ya kiwizi wizi kama nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][/QUOTEHizi data zimemnyima sana raha. Ajui sisi kabla yakuanza ujenzi tulitengeneza kundu lawataaramu walioenda Ethiopia, Nigeria, South Africa ikiwemo na Kenya ilikujua nimakosagani walifanya na challenges wanazo pata kwenye reli zao mpya ili nasisi tusiludie makosa napia tuwe na reli bora. Walitembelea karibu nchi 7 kiujumla. Magufuli nikichwa sana.
 
Unamquote MK iliakusaidie kutetea ujinga wako?? Wewe kweli Nyangau
the guy has no clue what he is talking about ,

the first article is very clear that the kenyan sgr can carry about 4000 tonnes of containers (216 twenty foot containers double stacked in one train), containers is the key word, the kenyan sgr can carry much more than 10 000 tonnes of bulk cargo (not containers)

the second article he quotes says that tanzanian cargo trains can carry only 100 single stacked containers , so somebody should explain to us how 100 single stacked containers can carry 10000 tonnes when 200 containers can carry only about 4000 tonnes,
they are directly using the total bulk cargo tonnage (not container tonnage)
 
Wapi wameandika
wapi wameandika single stacked containers kwenye article ya Tanzania nionyeshe. You can change nothing huo ndoukweli. 10,000 tonnes by 4,000 tonnes is confirmed in both articles. Fanya research yako uludi kivingine lakini usitafsiri kiswahili kama Kikuyu au kijaluo au luo.

kumbe Elimu yenyu ni duni hivi

we wajua tafouti kati ya single stack na double stack ni nini ?
wajua tafouti kati ya bulk cargo na container cargo ?
 
Wataelewa tu! Hili jukwaa halikuwa hivi miaka kadhaa huko nyuma!

Wakenya walitamba sana hapa
 
Mbona hiyo video ya Rahco Millard Ayo huwa unaambia watu tuingie, kila nikiingia huwa naona ni stori stori tu. Jamaa wapo wanatolea maelezo maelezo mengiiii, tunataka kuona action/moshi sio hadithi. Mlituzungusha hivi kwenye bandari ya Bagamoyo, stori nyingi kwamba ndio ze ze largest port, hatimaye kimyaaaaa.

Sisi leo hii tunasafiri kwa SGR, kitu cha kuonekana kwa macho sio hizo ze ze ze zenu.

Mkuu nn sababu za chuki za tz na Kenya maana me Niko.huku Tanzania mpakani na Kenya na tunaishi na wakenya kama ndugu ila huku mitandaoni dah
 
Dude, hii vita mliianzisha nyie, especially wewe, hapo zamani kila siku ulikuwa unataka haya mambo! Habari za kutwambia eti ulienda quora umebadilika sio issue!

BTW hata hizo nchi za ulaya na marekani wanabishana kila siku, japokuwa wao ubishi wao sa hizi imeahamia kwenye teknolojia! Lakini wanabishana kweli kweli

Lol! Have u seen this nasty exchange btwn the city mayors?

London is an uglier, more dangerous 'suburb of Paris' claims French politician | Daily Mail Online
 
Aisee povu la mwendokasi linawatoka waswahili dah!! hivyo acha niwaaandalien wadau picha murua kabisa toka kwa kina dada wetu, lineup ya kike ndani ya sgr baby[emoji2] [emoji109], wamagogoni azidi na ziara zake za kushtukizia tu hamna jinsi..
136322566_14959704113441n.jpg
136322566_14959704112661n.jpg
136322566_14959704111881n.jpg
136322566_14959704112191n.jpg
DBIYLUwXkAA9-s3.jpeg
 
Back
Top Bottom