Maisha haya😭Ni ubinadamu tu, inatokea naturally. Huenda hata wewe ungefanya hivyo. Ni kama kumtoa mdudu anayetaka kuingia jichoni ghafla, huwa hakuna muda wa kufikiri, utashangaa tu mkono umejaribu kumzuia.
Ndio nini!Inallilaah waina irahi rajiuun
Yana mwisho.Maisha haya😭
HakikaYana mwisho.
Kwakua usiku inaelekea mwandishi hajua linakoelekea, hebu tuone jua limewaka huenda ataona lilikokuwa linaelekea.Hiyo ajari imetokea wapi, Hilo bas safari zake ni kutoka wapi kuelekea wapi? 🤔🤔
Duuh ajali ni chache juzi ajali ya Kibaha leo hili bus aisee na unaona sawa...Msiwe mnaandika tu JF bila kufanya utafiti,kwa Idadi ya Mabasi yanayosafirisha abiria Nchi nzima kwa siku,ufinyu na ubovu wa barabara zetu hapa nchini,uchache wa Askari Polisi mabarabarani,NI UKWELI kwamba Ajali zinazotokea ni chache sana na hilo ni jambo la kumshukuru Mungu
Tangu wamtumie Mwijaku kwa kuitangaza haya mabasi kwa mbwembwe na aibu yamepata gundu sana.
View: https://www.youtube.com/watch?v=0LqKbNGzoqw&pp=ygUPbXdpamFrdSBzaGFiaWJ5
Alikuwa anayaendesha au kuyazuia yasipate ajali?Bado mna hangover yake.INAUMA SANA
KUNA KITU KIMEPUNGUA KWENYE UKAGUZI BARABARANI?
MBONA KWA MZEE AJARI HAZIKUWA NYINGI HIVI?
Mwendokasi kwa vyovyote hapo dereva alikwepesha kwake
Swali zuri mtoa mada kakurupuka ndio maana sijachangia chochoteHiyo ajari imetokea wapi, Hilo bas safari zake ni kutoka wapi kuelekea wapi? [emoji848][emoji848]
Hapa itakuwa aidha basi lilikuwa mwendo kasi wakati mbele ni giza taa hazina uwezo wa kumulika mbali akabamiza Lori lililosimama au walikuwa wanafukuzana karibu karibu ambao ni mtindo wa madereva wa sasa bila kuwa na akili kuwa lolote linaweza kutokea. Yote kwa yote dereva amekwepesha kwake akagongesha kwa abiria .Kwa habari zilizotufikia ni kuwa gari ya usafirishaji abiria ya kampuni ya Shabiby Line, imegonga lori la kontena kwa nyuma na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
View attachment 2931158
Ole wako RTO wa mkoa husika ajari zipatikane mara kwa mara kwenye mkoa wako ni lazima utaeleza tuAlikuwa anayaendesha au kuyazuia yasipate ajali?Bado mna hangover yake.
Hii fani ya udereva imevamiwa na wahuni .Madereva wa mabasi huwa wanafunguka utadhani mabasi yao yakichina yana assistive braking yaani ile ikiona kitu mbele gari inasimama yenyewe, Kumbe yakitokea unasikia wakiita Mamaa... Mungu atujalie mwisho ulio Mwema na aliefariki apumzike kwa amani.
Sidhani, ni usiku but picha imepigwa vizuri kabisa, angejiongeza kuuliza route ya hilo bas, bila shaka jamii iliyokusanyika hapo, wangempa jibu.Kwakua usiku inaelekea mwandishi hajua linakoelekea, hebu tuone jua limewaka huenda ataona lilikokuwa linaelekea.
. Taarifa iliyo kamilika inasaidia sana, kujua baadhi ya mambo, tuna ndugu wengi wanasifiri kila kukicha, taarifa kama hizi zinahitaji kuletwa angalau nyama imejaa kidogo... Una ndugu yupo safarini unampigia simu hapatikani then unaingia JF unakutana na Habari kama hii ipo nusu maelezo.....Swali zuri mtoa mada kakurupuka ndio maana sijachangia chochote