Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Maisha hayaðŸ˜Ni ubinadamu tu, inatokea naturally. Huenda hata wewe ungefanya hivyo. Ni kama kumtoa mdudu anayetaka kuingia jichoni ghafla, huwa hakuna muda wa kufikiri, utashangaa tu mkono umejaribu kumzuia.