Shabiki maarufu wa Simba Nabii Meja atangaza kuhamia Yanga rasmi

Wangehama hawa ningestuka..
  • Pasi milioni
  • Mzaramo
  • Mwakitalima
  • Kisugu
  • Mzee wa Salute
  • K Mziwanda
  • Aggy Simba.
  • Dr Mo.
  • Miraji
  • Mzee Said
*. Mzee Masatu.
* Big wa Simba
Kwa kuwataja wachache,huyo aliieonddoka Hana tofauti na yule anajiita Mchome.
 
Hakuna shabiki anaehamaga timu. Timu ni in born. Ukiona mshabiki wa hivyo basi hajui maana ya ushabiki.
 
watu wanataka vkombe sio komedi komedi za ahmed ally
 
Hivi mtu yeyote akiwa anaiongelea timu kwenye media ndio shabiki kindakindaki.
Kila siku mtu anashinda kwenye media jua Hana shuguri maalumu ya kufanya.
Shabiki wa Simba na yanga hawezi kuhama timu hata ifanye vibaya namna gani Ila Kuna watu baada ya kuona ushabiki umekuwa ndio wanadandia magari.
 
Mbona anaonekana kama ni Mtu anayehitaji kushikwa mkono, haya Hersi ampe hata usemaji wa Yanga
Princess.
 
Huyu sio shabiki ni tanga tanga, kwa hio Yanga ikifanya vibaya napo atahama?
 
Kuja home sa hii
Yaani kumbe kuna nyuzi za vocha na hamsemi🙆🙆🙆
Nimepita kila jukwaa, hadi majukwaa sijawahi jua yapo jf. Ila sijaona 😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…