Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Halafu anawapiga zile style za beberu likipandiana akirudi yanga,kwenye derby lazima awaweke [emoji28][emoji16][emoji16]
Hapa ndipo unapofikia uwezo wa kufikiri wa topolo yeyote.Halafu anawapiga zile style za beberu likipandia
Ujinga wa hizi club ni ule ulimbukeni wa kufanya kitu kwa lengo la kuwakomoa wapinzaniJUle maneno ya kuwa Yanga tuna tatizo la akili nalioja linaukweli ?
Kwa akili hizi halafu eti unataka mafanikio kwenye soka. Hizi timu bora zingeajili viongozi ambao ni wazungu. Mwenyekiti, CEO, sijui katibu, sijui nani wote wawe wazungu maana wenzetu wako smart sana. Hawayumbi yumbi kufuata beat ya kwa jirani. Sasa ngoja dirisha lifnguliwe utaona timu haina huitaji wa mchezaji X kwenye nafasi hiyo lakini watataka wamsajili tu ilimradi kuonesha tumepindua meza kwa jeuri ya pesaUjinga wa hizi club ni ule ulimbukeni wa kufanya kitu kwa lengo la kuwakomoa wapinzani
Yani hata kama jambo wanaona haliendi kuwa na maslahi yoyeote kwenye club lakini wanajua wakilifanya upande wa pili wataumia, basi watafanya.
Matokeo yake ni kwamba kile mlichokitegea kuwa kero kitazoelea itafika mahali ile threats haipo tena na wakati huo tayari mme damage pesa zenu na bado mko kwenye chain ya kuendelea kupoteza zaidi pesa
Sio kama morrison hajui mpira, hapana ni mchezaji mzuri sana na simba hawakutamani kuacha asset kama ile ila mpaka wamefikia maamuzi hayo najua wamefikiria angle zote.
Sasa we unavyoona mashabiki wa yanga nao ni watu[emoji16]Au matusi yote yale ya manara aliyowatusi for century lakini bado mkamsajili dirisha dogo, morrison ye nani?
MO sio mzungu?Kwa akili hizi halafu eti unataka mafanikio kwenye soka. Hizi timu bora zingeajili viongozi ambao ni wazungu. Mwenyekiti, CEO, sijui katibu, sijui nani wote wawe wazungu maana wenzetu wako smart sana. Hawayumbi yumbi kufuata beat ya kwa jirani. Sasa ngoja dirisha lifnguliwe utaona timu haina huitaji wa mchezaji X kwenye nafasi hiyo lakini watataka wamsajili tu ilimradi kuonesha tumepindua meza kwa jeuri ya pesa
Nimekutunuku na like ya upumbavu. Enjoy your life[emoji16]Hakuna adui wa kudumu kwenye Maisha ya mpira
Wepesi kusahau ula endapo kama timu inafanya vizuriSasa we unavyoona mashabiki wa yanga nao ni watu[emoji16]
Mwizi wa magari akiwa Simba na kwingineko ila kwa Yanga mtamtakasaKama hizi tetesi zitakuwa na ukweli itanihuzunisha sana, sijui wanaona kitu gani cha ziada kwa huyu mvuta bangi na mwizi wa magari.
kumbuka Yanga wenye akili ni Sunday Manara na Kikwetu tuJyale maneno ya kuwa Yanga tuna tatizo la akili naliona linaukweli aisee.
Morrison kawapotezea muda viongozi wa Yanga
Morrison kaiaibisha klabu ya Yanga kwa kuonekana klabu inamng'ang'ania wakati yeye kawakataa.
Morrison kaipotezea Yanga pesa kwa kufungua kesi CAS
Morrison kauumbua uongozi wa Yanga kuwa ni waongo na wababaishaji.
Mbali na hiyo tabia ya Morrison inajulikana kuwa ana tabia za hovyo. Hivi Africa nzima inamaana hakuja mchezaji anayemzidi au kulingana kipaji na uwezo Morrison?
Wanamtamani kweli yaanWepesi kusahau ula endapo kama timu inafanya vizuri