Usinilishe maandishi, wapi nimetaja mwanachama mpaka uniambie nitofautishe?Angekuwa mwanachama ni kweli ingeniuma, kwasababu wanachama tunamichango mikubwa sana kifedha Klabuni. Huyo ni shabiki....kama ilivyo ainishwa kwenye kichwa cha uzi.
Jua kutofautisha "mwanachana wa klabu" & "shabiki wa klabu".
Usinilishe maandishi, wapi nimetaja mwanachama mpaka uniambie nitofautishe?
si kweli mkuu, yanga walimchangia haji manara mbona hakuhamia kwao je? sio mzalendoHuo ndio Uzalendo wa kweli.
SIMBA DAMDAM
Kwahivyo shabiki hana nafasi kwenye Klabu yenu?
Sikilizeni nyinyi vyura kuhama team mbona inawezekana kwa sababu kama hiyo.
Damu nzito kuliko maji.
Hata baba yake Luke Shaw aliacha kushangilia Chelsea na kuhamia Manchester utd baada ya mwanawe kusajiliwa na Manchester utd
Hapana, wewe wakilisha Timu yako kuwa shabiki hana nafasi. By the way Klabu kama Simba shabiki anayo nafasi, ndo maana hata viongozi wa Vilabu mara nyingi sana utasikia wakisema;Shabiki angekuwa na nafasi hata kwenye klabu yako mwenyewe ungeliona hilo...?
Mbona hamkuwatumia mashabiki kuamua kipindi kile mtaamua kumkabidhi timu "MO"..? Mbona mliwafungia nje getini wale wote wasio na kadi za uana chama...?
Ndio shabiki hana nafasi kwenye vilabu hivi vya kibongo.
Tunawaomba Wanachama na Mashabiki wote kufika kwa wingi uwanjani au hata kwa jambo lolote lile ambalo linahusu Klabu.
Ukiletewa unafanya nini? Gongowazi utakuja adhirika bure
Mbona kuingia Uwanjani husemi mchango wa Shabiki kwa klabu? Kununua Jezi na vifaa vya Klabu kwa Shabiki mbona husemi?Hapo hapo: nataka nikuulize swali.
Je viongozi wenu wa simba wameshawahi sema "Tunawaomba Mashabiki wote kufika kwa wingi kwenye mkutano wa mwaka wa klabu"...?
Bila shaka jibu lako litakuwa hapana. na ndio maana nikasema shabiki hawezi kuwa mtu wa muhimu kwenye hivi vilabu angekuwa wa muhimu basi kwenye mikutano yote ya maamuzi wasingukuwa wanahitajika "wanachama" pekee..
True love nener end. uyo kakubali tu ili kuokoa maisha ya mwanae ila mapenzi yapo kulekule
Kwahivyo kama Mwanachama anachangia kwa kulipia Kadi yake, basi hata shabiki naye kule kuingia uwanjani ni mchango kwa Klabu
.
Pole kwa kwa kuuguliwa. Lakini nimpinge 'kuhamia' Simba, kwa sababu ni kitu kisichowezekana. Ni kama kutangaza kwamba sasa umehama kabila, hakuna atakayekuelewa. Mimi kuna timu inanitesa sana, kuna kazee kameng'ang'ania ukocha kwa zaid ya miaka 20, tunapigwa bao kama watoto yatima, lakin bado nipo nayo tu. Kila nikijifanya 'nahama' najikuta nimehama akili lakin moyo bado uko palepale.
Ushauri kwa Manara, aache kutumia shida za watu kujipatia umaarufu na mashabiki. Kuna clip anamwambia shabiki wa Yanga avue jezi ili ampe elfu 10. Ukitaka kupata thawabu kwa kumsaidia mtu, usimpe masharti. La sivyo itakuwa sawa na wale kina dada wanaopewa hela na wao kutoa tiba ya matamanio. Kama shida ni PR, fanyeni kama Mbeya City FC, chukua wachezaji kachangie damu wagonjwa hospitalini, kaoneni watoto yatima, kafagien masoko, tembelea shule kipindi cha michezo, nk
Kama kuacha mke,Ni ngumu sana kuhama timu.
Tukiachilia mbali habari za Arsenal yako. Hayo yote mbona yanafanyika? Hospitali kusaidia wagonjwa. Kuhusu Yatima pale Magomeni Manara alienda kama picha inavyoonyesha hapoPole kwa kwa kuuguliwa. Lakini nimpinge 'kuhamia' Simba, kwa sababu ni kitu kisichowezekana. Ni kama kutangaza kwamba sasa umehama kabila, hakuna atakayekuelewa. Mimi kuna timu inanitesa sana, kuna kazee kameng'ang'ania ukocha kwa zaid ya miaka 20, tunapigwa bao kama watoto yatima, lakin bado nipo nayo tu. Kila nikijifanya 'nahama' najikuta nimehama akili lakin moyo bado uko palepale.
Ushauri kwa Manara, aache kutumia shida za watu kujipatia umaarufu na mashabiki. Kuna clip anamwambia shabiki wa Yanga avue jezi ili ampe elfu 10. Ukitaka kupata thawabu kwa kumsaidia mtu, usimpe masharti. La sivyo itakuwa sawa na wale kina dada wanaopewa hela na wao kutoa tiba ya matamanio. Kama shida ni PR, fanyeni kama Mbeya City FC, chukua wachezaji kachangie damu wagonjwa hospitalini, kaoneni watoto yatima, kafagien masoko, tembelea shule kipindi cha michezo, nk
Hujaelewa hebu soma tena alichoa andika. πTukiachilia mbali habari za Arsenal yako. Hayo yote mbona yanafanyika? Hospitali kusaidia wagonjwa. Kuhusu Yatima pale Magomeni Manara alienda kama picha inavyoonyesha hapo