Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

Angekuwa mwanachama ni kweli ingeniuma, kwasababu wanachama tunamichango mikubwa sana kifedha Klabuni. Huyo ni shabiki....kama ilivyo ainishwa kwenye kichwa cha uzi.

Jua kutofautisha "mwanachana wa klabu" & "shabiki wa klabu".
Usinilishe maandishi, wapi nimetaja mwanachama mpaka uniambie nitofautishe?

Kwahivyo shabiki hana nafasi kwenye Klabu yenu?
 
Usinilishe aneno wapi nimesema kuwa umesema "Mwanachama".

Wewe umeongelea shabiki,na mimi nimekuambia kuwa kibongobongo shabiki ni mtu wa kawaida sana kwenye soka ikiwa yeye si mwanachama hai mwenye kadi ana mwenye kuilipia kwa wakati ipasavyo.

shabiki wa kibongobongo hana uthubutu wa hata kununua seasonal tickets (Hata kama zingekuwa zimeanza kuuzwe hapa bongo).

shabiki wa kibongo anakuja uwanjani mechi ya Yanga vs Simba vs Azam tu. Klabu yake ikicheza na Mwadui Shinyanga hana uthubutu wa kwenda huko.

Mashabiki hapabongo ni wachache sana, wengi ni hao kwenye vikundi vya ushangiliaji tu, lakini sio kama individual.

Ni kheri mwanachama mwenye uthubutu wa hata kulipia mchango wa uanachama wake!
 
Kwahivyo shabiki hana nafasi kwenye Klabu yenu?

Shabiki angekuwa na nafasi hata kwenye klabu yako mwenyewe ungeliona hilo...?

Mbona hamkuwatumia mashabiki kuamua kipindi kile mtaamua kumkabidhi timu "MO"..? Mbona mliwafungia nje getini wale wote wasio na kadi za uana chama...?

Ndio shabiki hana nafasi kwenye vilabu hivi vya kibongo.
 
Sikilizeni nyinyi vyura kuhama team mbona inawezekana kwa sababu kama hiyo.
Damu nzito kuliko maji.
Hata baba yake Luke Shaw aliacha kushangilia Chelsea na kuhamia Manchester utd baada ya mwanawe kusajiliwa na Manchester utd

Hebu tuletee video inayoonyesha baba yake Luka Shaw akikiri bila hiyana na akisema anahama timu "X" na kuhamia timu "Y"...?
 
Shabiki angekuwa na nafasi hata kwenye klabu yako mwenyewe ungeliona hilo...?

Mbona hamkuwatumia mashabiki kuamua kipindi kile mtaamua kumkabidhi timu "MO"..? Mbona mliwafungia nje getini wale wote wasio na kadi za uana chama...?

Ndio shabiki hana nafasi kwenye vilabu hivi vya kibongo.
Hapana, wewe wakilisha Timu yako kuwa shabiki hana nafasi. By the way Klabu kama Simba shabiki anayo nafasi, ndo maana hata viongozi wa Vilabu mara nyingi sana utasikia wakisema;

Tunawaomba Wanachama na Mashabiki wote kufika kwa wingi uwanjani au hata kwa jambo lolote lile ambalo linahusu Klabu.
 
True love nener end. uyo kakubali tu ili kuokoa maisha ya mwanae ila mapenzi yapo kulekule
 
Hebu tuletee video inayoonyesha baba yake Luka Shaw akikiri bila hiyana na akisema anahama timu "X" na kuhamia timu "Y"...?
Ukiletewa unafanya nini? Gongowazi utakuja adhirika bure
 
Tunawaomba Wanachama na Mashabiki wote kufika kwa wingi uwanjani au hata kwa jambo lolote lile ambalo linahusu Klabu.

Hapo hapo: nataka nikuulize swali.

Je viongozi wenu wa simba wameshawahi sema "Tunawaomba Mashabiki wote kufika kwa wingi kwenye mkutano wa mwaka wa klabu"...?

Bila shaka jibu lako litakuwa hapana. na ndio maana nikasema shabiki hawezi kuwa mtu wa muhimu kwenye hivi vilabu angekuwa wa muhimu basi kwenye mikutano yote ya maamuzi wasingukuwa wanahitajika "wanachama" pekee..
 
Ukiletewa unafanya nini? Gongowazi utakuja adhirika bure

Ukiweza kuleta hiyo na mimi nitakuletea video ya "Mmasai" akitangaza rasmi kuhama kabila lake na kuamua rasmi kuwa "Mzaramo"....
 
Pole kwa kwa kuuguliwa. Lakini nimpinge 'kuhamia' Simba, kwa sababu ni kitu kisichowezekana. Ni kama kutangaza kwamba sasa umehama kabila, hakuna atakayekuelewa. Mimi kuna timu inanitesa sana, kuna kazee kameng'ang'ania ukocha kwa zaid ya miaka 20, tunapigwa bao kama watoto yatima, lakin bado nipo nayo tu. Kila nikijifanya 'nahama' najikuta nimehama akili lakin moyo bado uko palepale.

Ushauri kwa Manara, aache kutumia shida za watu kujipatia umaarufu na mashabiki. Kuna clip anamwambia shabiki wa Yanga avue jezi ili ampe elfu 10. Ukitaka kupata thawabu kwa kumsaidia mtu, usimpe masharti. La sivyo itakuwa sawa na wale kina dada wanaopewa hela na wao kutoa tiba ya matamanio. Kama shida ni PR, fanyeni kama Mbeya City FC, chukua wachezaji kachangie damu wagonjwa hospitalini, kaoneni watoto yatima, kafagien masoko, tembelea shule kipindi cha michezo, nk
 
Hapo hapo: nataka nikuulize swali.

Je viongozi wenu wa simba wameshawahi sema "Tunawaomba Mashabiki wote kufika kwa wingi kwenye mkutano wa mwaka wa klabu"...?

Bila shaka jibu lako litakuwa hapana. na ndio maana nikasema shabiki hawezi kuwa mtu wa muhimu kwenye hivi vilabu angekuwa wa muhimu basi kwenye mikutano yote ya maamuzi wasingukuwa wanahitajika "wanachama" pekee..
Mbona kuingia Uwanjani husemi mchango wa Shabiki kwa klabu? Kununua Jezi na vifaa vya Klabu kwa Shabiki mbona husemi?

Kwahivyo kama Mwanachama anachangia kwa kulipia Kadi yake, basi hata shabiki naye kule kuingia uwanjani ni mchango kwa Klabu

Ndo maana Vilabu vyote duniani hulilia kupata viwanja vikubwa kwa ajili ya wanachama na mashabiki.
 
True love nener end. uyo kakubali tu ili kuokoa maisha ya mwanae ila mapenzi yapo kulekule

Kulielewa jambo kamaili inahitaji IQ ya wastani sana. Ila hao wa upande wa pili tangu wabatizwe jina na Rage limekuwa likiwa na maana miaka yote.
 
Hivi unakumbuka Katibu Mkuu wa Cecafa Nicolas Musonye aliwaambia nini nyinyi Vyura?
 
Kwahivyo kama Mwanachama anachangia kwa kulipia Kadi yake, basi hata shabiki naye kule kuingia uwanjani ni mchango kwa Klabu

.

Sasa kama wote wana mchango sawa kwanini wanabaguliwa inapokuja suala la kufanya maamuzi makubwa klabuni...?

Shabiki ni mtu wa chini ukilinganisha na mwanachama. Heshima kwake ni jambo la bahati sana!
 
Pole kwa kwa kuuguliwa. Lakini nimpinge 'kuhamia' Simba, kwa sababu ni kitu kisichowezekana. Ni kama kutangaza kwamba sasa umehama kabila, hakuna atakayekuelewa. Mimi kuna timu inanitesa sana, kuna kazee kameng'ang'ania ukocha kwa zaid ya miaka 20, tunapigwa bao kama watoto yatima, lakin bado nipo nayo tu. Kila nikijifanya 'nahama' najikuta nimehama akili lakin moyo bado uko palepale.

Ushauri kwa Manara, aache kutumia shida za watu kujipatia umaarufu na mashabiki. Kuna clip anamwambia shabiki wa Yanga avue jezi ili ampe elfu 10. Ukitaka kupata thawabu kwa kumsaidia mtu, usimpe masharti. La sivyo itakuwa sawa na wale kina dada wanaopewa hela na wao kutoa tiba ya matamanio. Kama shida ni PR, fanyeni kama Mbeya City FC, chukua wachezaji kachangie damu wagonjwa hospitalini, kaoneni watoto yatima, kafagien masoko, tembelea shule kipindi cha michezo, nk

Ghazwat: Soma post za watu wanaotumia akili zao za kumkichwa jinsi wanavyo dadavua masuala kwa mifano iliyo enda shule. 😀😀😀
 
Pole kwa kwa kuuguliwa. Lakini nimpinge 'kuhamia' Simba, kwa sababu ni kitu kisichowezekana. Ni kama kutangaza kwamba sasa umehama kabila, hakuna atakayekuelewa. Mimi kuna timu inanitesa sana, kuna kazee kameng'ang'ania ukocha kwa zaid ya miaka 20, tunapigwa bao kama watoto yatima, lakin bado nipo nayo tu. Kila nikijifanya 'nahama' najikuta nimehama akili lakin moyo bado uko palepale.

Ushauri kwa Manara, aache kutumia shida za watu kujipatia umaarufu na mashabiki. Kuna clip anamwambia shabiki wa Yanga avue jezi ili ampe elfu 10. Ukitaka kupata thawabu kwa kumsaidia mtu, usimpe masharti. La sivyo itakuwa sawa na wale kina dada wanaopewa hela na wao kutoa tiba ya matamanio. Kama shida ni PR, fanyeni kama Mbeya City FC, chukua wachezaji kachangie damu wagonjwa hospitalini, kaoneni watoto yatima, kafagien masoko, tembelea shule kipindi cha michezo, nk
Tukiachilia mbali habari za Arsenal yako. Hayo yote mbona yanafanyika? Hospitali kusaidia wagonjwa. Kuhusu Yatima pale Magomeni Manara alienda kama picha inavyoonyesha hapo
b4ebd9b7ac8169b767c555468dbfbaad.jpg
 
Hujaelewa hebu soma tena alichoa andika. 😀
 
Back
Top Bottom