Mmegawana hayo magabachori?Machoko ya Ghalib mna gubu sana
Mabumunda ya Gsm hamna kabisa furaha maana ligi imepoa na haizungumziki, leo mna mechi lakini macho na masikio yapo kwa madiba kusubiria mechi ya simba.Ngoja matikiti maji ya Mwamedi yaje
Yes ni ni kweli tupo kwenye struggle ya kuutengeneza huo ukubwa.Hivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?
Tukubali ukweli. Sisi bado tupo njiani. Bado tupo kwenye struggle ya kutengeneza huo ukubwa, ila kwasasa tusidanganyane.
Kuanzia uwekezaji mpaka miundombinu. Huo ukubwa tunaoujenga kichwani bado wazee. Hamna timu ya kubeba ubingwa wa Afrika hapa
View attachment 2197584
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion material needs TIME and MONEY”
Kauli hii inakuja muda mfupi kabla ya Simba kuingia uwanjani dhidi ya Orlando Pirates ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2022).
Kwahiyo ndomaana kuna team ilijitoa mapema sana??Yuko sahihi mzehe, simba out, Orlando nae anaenda kutoka. Kaskazini wakifika hatua hizi wanakiwasha balaa,,,ni heri ujitoe mapema kuliko kwenda kuaibika.
Hivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?
Tukubali ukweli. Sisi bado tupo njiani. Bado tupo kwenye struggle ya kutengeneza huo ukubwa, ila kwasasa tusidanganyane.
Kuanzia uwekezaji mpaka miundombinu. Huo ukubwa tunaoujenga kichwani bado wazee. Hamna timu ya kubeba ubingwa wa Afrika hapa
Timu zenyewe hizi tunazoringia uwekezaji wake sio sustainable (endelevu). Halafu ujiringanishe na Al ahaly etal!Hivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?
Tukubali ukweli. Sisi bado tupo njiani. Bado tupo kwenye struggle ya kutengeneza huo ukubwa, ila kwasasa tusidanganyane.
Kuanzia uwekezaji mpaka miundombinu. Huo ukubwa tunaoujenga kichwani bado wazee. Hamna timu ya kubeba ubingwa wa Afrika hapa
View attachment 2197584
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion material needs TIME and MONEY”
Kauli hii inakuja muda mfupi kabla ya Simba kuingia uwanjani dhidi ya Orlando Pirates ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2022).
Utamwelewaje mtu ambaye mmbea wa soka badala uchambuzi wa soka!! Hivi hapo alipo Shafii naye anajiona mchambuzi wa soka! Kama ni hivyo kila mtu ni mchambuzi ili maadamu ana mdomo na ana mapenzi na soka!!Wajinga wamsimbazi hatamwelewa kamwe