OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
nyinyi na Upunguani wenu mlifika wapiCha kulalamika umefikia wapi na povu lako [emoji848][emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyinyi na Upunguani wenu mlifika wapiCha kulalamika umefikia wapi na povu lako [emoji848][emoji6]
SteveMollel upo sahihi kijana shida wengi wanaushabiki wa kipumbavu lakit alichokisema shaffih ni fact kabisa anyway vipi watu wako wa movie tumekumis Sana muda mrefu umepita bila kutupa vitu vikaliHivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?
Tukubali ukweli. Sisi bado tupo njiani. Bado tupo kwenye struggle ya kutengeneza huo ukubwa, ila kwasasa tusidanganyane.
Kuanzia uwekezaji mpaka miundombinu. Huo ukubwa tunaoujenga kichwani bado wazee. Hamna timu ya kubeba ubingwa wa Afrika hapa