inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Utampigaje mtu ban kuzungumziwa soka!!?..aliyepga ban mwendawazimuHuyu bwana si alipigwa ban kuzungumzia masuala ya soka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utampigaje mtu ban kuzungumziwa soka!!?..aliyepga ban mwendawazimuHuyu bwana si alipigwa ban kuzungumzia masuala ya soka?
View attachment 2197584
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion material needs TIME and MONEY”
Kauli hii inakuja muda mfupi kabla ya Simba kuingia uwanjani dhidi ya Orlando Pirates ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2022).
Huyu akili zinatokaga na kurudi. Simba ikipita na kufanikiwa atakuja na sifa nyingi. Always anaenda na upepo bila kujua wadogo wanakua na wakubwa wanazeekaView attachment 2197584
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion material needs TIME and MONEY”
Kauli hii inakuja muda mfupi kabla ya Simba kuingia uwanjani dhidi ya Orlando Pirates ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2022).
Kabsa. Hawa ni watu ambao hatutakiwi kuwaamini na kuwapa nafasi ya kutuaminisha upuuzi wao. Sio kila wasemacho kina ukweli. Hisia zao kwenye jambo moja wanataka zituongoze kwenye kila jamboYaani hapo tayari keshachambua mpira!! Mimi ningetarajia atuchambulie takwimu zilizijiri katika mechi ya kwanza hapa Dar, halafu azitumie kutuambia ni kwa namna gani Orlando ni wazuri kuliko Simba.
Ukweli ni kwamba achilia matokeo baina yao kwenye mechi, takwimu za mchezo huo hazikuonesha makali yoyote ya timu hiyo hata kuipa nafasi ya kusonga mbele. Ilizidiwa karibu maeneo yote!! Kamaq itasonga mbele si kwa sababu yenyewe ni bora zaidi, bali ni matokeo tu kuwa upande wao!! Ubora wa timu huonekana kwenye btakwimu za mchezo na si vinginevyo!!
Kama Simba itasonga mbele Shafii atasema "mimi sikusema hatasonga mbele bali nilisema hatabeba ubingwa wa Confederation cup"!! Kama isiposonga mbele atasema "si nilisema, hapo hakuna kitu" Ikitokea Simba ikabeba kombe la CAF atasema " mimi nilisema hawezi kubeba ubingwa wa Africa yaani champions league". Hawa ni wambeya wa soka hitaji lao kubwa ni kuganga njaa!! Ukimpa buku anakusema vizuri nk!!
Yuko sahihi mzehe, simba out, Orlando nae anaenda kutoka. Kaskazini wakifika hatua hizi wanakiwasha balaa,,,ni heri ujitoe mapema kuliko kwenda kuaibika.
Tena hatua za awali kabisaKwahiyo ndomaana kuna team ilijitoa mapema sana??
Kwa hiyo Petro Atletico kawekeza kuliko MamelodHivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?
Tukubali ukweli. Sisi bado tupo njiani. Bado tupo kwenye struggle ya kutengeneza huo ukubwa, ila kwasasa tusidanganyane.
Kuanzia uwekezaji mpaka miundombinu. Huo ukubwa tunaoujenga kichwani bado wazee. Hamna timu ya kubeba ubingwa wa Afrika hapa
😁😁 Sasa unamwita Shafii Mnafiki ,hàlafu up nasema inawezekana Kwa asilimia Ndogo🤔Ndio shida ya wachambuzi, ni wanafiki, wanaongelea vitu vilivyopo hapo ni sababu simba haijatwaa, sio kwamba haiwezekani inawezekana japo ni kwa asilima chache mnooo, michuano kama hii mnapoika atua ya mtoano ni zali kwa saana na kuchanga karata zako vema. Denmark alifika mpaka fainali92 kama sikosei akiwa kaingia kwa dharura, hakufuzu michuano ile... Liver alishabeba ndoo wakati kwenye ligi yake kamaliza mtu wa 5 sijui, kuna watu huwa na timu nzuri na uefa huwa wanaishia kutoka njiani.
[emoji23][emoji23][emoji23]amewachokoza Makolo na UtopoloNgoja matikiti maji ya Mwamedi yaje
Record hizo umezitoa wapi?Mamelodi imewekezwa hela nyingii sana. Na mmiliki wake ni rais wa caf kwamba wana advantage kwa marefa. Ila bado mamelodi haivuki robo fainali tena misimu zaidi ya minne now .
Kundi huwa inaongoza kila msimu ila ikifika robo tu inatolewa.
Kama Timu kubwa kama mamelodi imewahi twaa ubingwa wa africa mara 1 tu tena ni zamani sio leo toka kuanzishwa kwa timu. Sasa timu zetu za bajeti kisado zinaanzia wapi kutwaa ubingwa zama hizi
Mimi nasema aslimia ndogo, yeye anasema haiwezekani kabisa, sasa huoni kama huyo ni chizi. Kwenye mpira kwanin isiwezekane wangapi wamechukua makombe timu zao zikiwa dhohoful hali.. Wigan sijui nani sikumbuki katwaa fa huku anashuka daraja.[emoji16][emoji16] Sasa unamwita Shafii Mnafiki ,hàlafu up nasema inawezekana Kwa asilimia Ndogo[emoji848]
Huu ndio ukweliView attachment 2197584
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion material needs TIME and MONEY”
Kauli hii inakuja muda mfupi kabla ya Simba kuingia uwanjani dhidi ya Orlando Pirates ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2022).
Mimi naona mna tofautiana padogo sana ,na huyo Chizi 🤭😁😋Mimi nasema aslimia ndogo, yeye anasema haiwezekani kabisa, sasa huoni kama huyo ni chizi. Kwenye mpira kwanin isiwezekane wangapi wamechukua makombe timu zao zikiwa dhohoful hali.. Wigan sijui nani sikumbuki katwaa fa huku anashuka daraja.
Unaweza kusoma ila umeshindwa kuelewa. Hilo sio kosa lako.Mimi naona mna tofautiana padogo sana ,na huyo Chizi [emoji2960][emoji16][emoji39]
Watu wabishi halafu team bora ni ile kila mwaka wanacheza league ya mabingwa sio shirikisho. Toka lini tumesikia Alahly wanacheza shirikisho? watu bora ni wale kila mwaka wako huko league ya mabingwa na wanapigania kombe sio lazima ashinde kila mwaka ila wako huko huwezi kuwa team bora uko huku division 2. Simba miaka ya karibuni wamejitahidi lakini hawako katika level ya kuja kutawazwa mabingwa wa Africa bado sana sasa kwa Simba unaweza kusema good show kwa Yanga ndio bado sana wanasafari ndefu sana kuvuka vile viunzi vya mwanzo na kwa team hii bado watapata shida sana. Mwisho wa siku maneno yana ukweli hakuna team Tanzania kwa sasa na miaka michache ya mbele kusema tuko tayari kupigania ubingwa achilia kuingia final tu. Je bahati zipo yes zipo hata ulaya inatokea lakini msimu mmoja tu huwezi kupata kama wale kina Al Ahly na sijui Raja kubadilishana tu. Ukweli mchungu ila bado sana tena sana.Hivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?