Hivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?
Tukubali ukweli. Sisi bado tupo njiani. Bado tupo kwenye struggle ya kutengeneza huo ukubwa, ila kwasasa tusidanganyane.
Kuanzia uwekezaji mpaka miundombinu. Huo ukubwa tunaoujenga kichwani bado wazee. Hamna timu ya kubeba ubingwa wa Afrika hapa