Shahada ya heshima kwa Rais Samia sio sawa

Hayo uliyoyataja Kuna Nchi yeyote hapa Duniani imeyamaliza?

Mengine ni husuda na wivu vinakusumbua,kazi kubwa ya Rais Samia Ni hii hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221126-155956.png
    164.7 KB · Views: 2
Leo nimekubali kuwa JK hana aibu na anajua watanzania hawamuelewi na hawajui alichokifanya Chuo Kikuu cha Dar es sallam leo.
 
Unaambiwa hadi mikopo ya wanafunzi wa vyuo ni tia maji tia maji ; hawajapewa hadi leo !
 
Yote ni ubatili tu ndiyo maana nafsi zao haziridhiki.
 
Nchi haina umeme, maji na maisha magumu halafu anatokeo kilaza mmoja anampa mtu shahada ya uzamivu kwa misingi ipi???

Elimu imefanywa kuwa cheap kwasababu ya upuuzi wa wanasiasa!
 
Na Mwenyewe amekiri kuwa hakuistahili kutokana na sababu mbalimbali ( japo ya Uwezo mdogo Kitaaluma hakuisema ) ila Kufurahia kuipata baada ya Kusifiwa katika Wasifu wake Ukumbini.

itvtz
"Suala la kupewa tuzo hii nimelipokea kwa unyenyekevu mkubwa lakini nilijiuliza maswali kadhaa, sababu huko nyuma nilijaribu kuitafuta shahada hii lakini muda haukunipa nafasi, na nikajitazama sikuona kwamba nina sifa za kupewa shahada hii, lakini baada ya kusikiliza kwa makini maelezo marefu juu ya wasifu wangu, nimepata mwanga wa sababu zilizosukuma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kunitunuku shahada hii" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mhe.Dkt.@samia_suluhu_hassan

Kazi ipo hakyanani.
 
Mbele ya CCM uchumi huwa haushuki wao kila siku ni mafanikio wakati nchi za ulaya kuna nyakati uchumi hushuka, hawa jamaa wamejaa uongouongo tu.
 
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?[emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
JK amempa ili kujaribu kumtia nguvu dhidi ya dr. Bashiru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…