Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2006 mkapa alipewa PhD UDSMMkapa alitawala miaka 10 hakupewa Phd.
Mwinyi alitawala miaka 10 hakupewa Phd
ila hii sawa wakati hakuna ofisi ya makoa makuu ya chamaInashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
Watu wameamua kumheshimu Mtu wao halafu wewe unaumia? Waache wampe nyingine hata wiki ijayo wala haibadilishi chochote. Umeona kuna Mtanzania mwenye akili timamu ameahobokea Udaktari wa heshima wa Mtu? Inamwongezea nini mwananchi hiyo doctorate aliyopewa?Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
Namba nne siyo kweli. Ajira zimejaa bwerere. Jpm ndiyo alikuwa anastrugle kuzimaliza na akafanikiwaInashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
Sasa mbona tumepigwa kibwege namna hii ?Shahada ya heshima ni ile unayoitafutia darasani au kwenye utafiti.
Huko lindi ni balaa , maadhimisho ya Ukimwi yamegeuka pongezi za PhD !Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?[emoji3064][emoji848][emoji2827]
Mtu akimtunukia X wake zawadi kuna ubaya?Kwani mkuu wa chuo kwa sasa ni nani ???!!!!
Pinga hoja kwa hoja mkuuAcha wivu kwa mama yetu.
Hili nalo nendeni mkalitizameIngefaa apewe shahada ya Kiswahili cha Zanzibar
Wewe ni mtu mdebwedo hujali lolote ilimradi unakula na kushiba.Watu wameamua kumheshimu Mtu wao halafu wewe unaumia? Waache wampe nyingine hata wiki ijayo wala haibadilishi chochote. Umeona kuna Mtanzania mwenye akili timamu ameahobokea Udaktari wa heshima wa Mtu? Inamwongezea nini mwananchi hiyo doctorate aliyopewa?
Hongera mno kwa kamanda Mbowe!!!ila hii sawa wakati hakuna ofisi ya makoa makuu ya chama
TAARIFA KWA UMMA
Mkutano mkuu wa vyama vya Kidemokrasia Barani Afrika - Democrat Union of Africa (DUA) uliofanyika Jijini Abidjan, Ivory Coast kuanzia Jumapili tarehe 06 Novemba, 2022 na kuhitimishwa leo tarehe 09 Novemba, 2022 umemchagua Mhe Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa kuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo.
Mkutano mkuu wa DUA pia umemchagua Louisa Atta-Agyemang wa chama tawala nchini Ghana, NPP ( New Patriotic Party).
kama Mwenyekiti Mwenza atakayesaidiana na Mh Mbowe kufanya mageuzi ya kimfumo na utendaji ndani ya DUA ili kukidhi mahitaji ya vyama vya mrengo wa kati barani Afrika.
Mkutano mkuu wa DUA umeamua kuwa na wenyeviti wenza wawili ili kurahisisha utendaji na ufuatiliaji wa mkakati wa kueneza itikadi ya mrengo wa kati barani Afrika.
Wenyeviti wenza wataongoza bodi ya watu nane (8) itakayojumuisha makamu wenyeviti kutoka kanda tano za Afrika ambazo ni Kaskani (Morocco), Magharibi (Togo/ Nigeria), Kati (Equatorial Guinea) Mashariki (Kenya) na Kusini (Malawi).
Kikao cha kwanza cha bodi ya DUA kilichoongozwa na Mh Mbowe kimeamua kuhamisha makao makuu ya sekretariati ya DUA kutoka Accra Ghana kwenda Afrika ya Kusini.
Kwa nafasi hii, Mhe Freeman Mbowe atakuwa mmoja wa makamu wenyeviti wa Umoja wa vyama vya Kidemokrasia Duniani- International Democrat Union (IDU) kutokea Afrika.
Imetolewa leo tarehe 09 Novemba, 2022 Jijini Abidjan, Ivory Coast.
My Take;
Uwezo wa Freeman Mbowe na uimara wake unatambulika miongoni mwa wanasiasa ulimwenguni.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi
KUNA TATIZO KWANI?!Hongera mno kwa kamanda Mbowe!!!
Huna hoja.Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
Tumeambiwa kwenye moja ya hii mijadala kuwa Mkapa alikataa alipopewa na SUA.Mkapa alitawala miaka 10 hakupewa Phd.
Mwinyi alitawala miaka 10 hakupewa Phd