Shahada ya heshima kwa Rais Samia sio sawa

Shahada ya heshima kwa Rais Samia sio sawa

PhD imekuwa fashion siku hizi kila mtu atapewa tu vuteni subra
Yuko muuza chips mmoja Nampa nae
 
Huna hoja.

Raisi Samia ametuvusha katika kipindi kigumu Cha kudorora kwa uchumi duniani kutokana na changamoto za korona na vita ya Ukraine.

Raisi Samia ni raisi hodari. Anastahili zaidi ya udaktari wa falsafa.
Amewavusha wapi wakati petroli na dizeli zipo juu kuwahi kutokea?! Tozo tozo tozo! Umeme, maji mgao mkubwa kuwahi kuwepo! Hakuna wakati wasomi wanarandaranda mitaani bila ajira kama wakati huu. Wajinga wa Tanzania muwe na akili walau mara moja kwa mwaka!
 
Back
Top Bottom