Shahidi ashindwa kumleta Tundu Lissu Mahakamani Kisutu, Kesi yaahirishwa hadi tarehe 24 Septemba 2020

Shahidi ashindwa kumleta Tundu Lissu Mahakamani Kisutu, Kesi yaahirishwa hadi tarehe 24 Septemba 2020

Hakuna mtu wa kumgusa Lisu kipindi hiki.

Wanasubiri akiliwa kichwa kwenye sanduku la kura asilalamike kuonewa
 
Huyu hawezi kuongoza nchi.. kama ni muoga hata wa kwenda mahakamani..

Muda ufike akamatwe.. ushahidi upo kwamba hata hizo siku 14 hakukaa ndani...
Mjomba inaonekana roho yako ni mbaya kumshinda ocd wa morogoro
 
Naimani mpaka tarehe 25 September Dareslama na mikoani mingine itakuwa imeshaiva vilivyo kwa spirit ya ukombozi, hivyo Tundu Lissu siku hiyo atahudhuria kisutu uku raiya wakiwa tayari kufanya lolote kama haki haitatendeka.

Naiamini mahakama yetu kwenye upande wa kutoa haki ila kwa polisi watakapojaribu kuwazuiya watu wasifike mahakamani hapo ndio neno la Nabii litakapokamilika
 
"Kwahiyo hicho kinachoitwa uchaguzi wa marudio uharamia mtupu, haramu, haramu ...kinachoitwa uchaguzi wa marudio ni haramu tupu nyie ni Waislam sana naomba niseme uharamu wa uchaguzi wa marudio wa mwaka jana hautofautiani na kula Nguruwe kwa wala nguruwe hawa nilikuwa nazungumzia yaliyokuja baada ya wala nguruwe hawa kufanya uharamia wao...laana tullah"
Maneno yanaoweza kuamsha chuki ni yapi hapo?

Sedition.. incitiment to violence
It is crucial to understand the meaning of "incitement to violence." Properly, that concept refers to somebody actively urging violence against particular individuals. For example, it should be against the law for Joe to distribute pamphlets that state, "Murder my neighbor Jim because..." It should also be against the law for Joe to advertise for the services of a hitman.

The question is, does the speech in question purposely and clearly attempt to get others to commit an act of violence against innocent parties? (As I acknowledged, some cases can be ambiguous, but most are clear-cut.)
 
Hahahaaa....... Tundu Lissu kiboko yao... Alishasema anatekeleza takwa la kikatiba linalokuja kila baada ya miaka 5 na sisi tunamuunga mkono.....subirini sindano ziwaingie mlizoea kukamata hovyo watz sasa mtetezi halisi amesharudi mtaisoma namba......
Hapo sijaona maneno yoyote ya uchochezi ni ukweli mtupu

Tundu Lissu akili mingi sana
 
Huyu hawezi kuongoza nchi.. kama ni muoga hata wa kwenda mahakamani..

Muda ufike akamatwe.. ushahidi upo kwamba hata hizo siku 14 hakukaa ndani...
Mataga hadi mtataga mwaka huu.
Ukiskia Tundu Lissu ni mjuzi wa "sheria" na hakuna kama yeye, hiyo ndiyo maana yake.
 
Jf Kuna tatizo kubwa Sana la uandishi , heading zinatofautiana mno na content.
 
Mbona kama vile mahakama imepigwa ganzi wanashindwaje kutoa amri ya kumkamata au ndio kuogopa mabeberu
 
Alipangiwa kurejesha form saa 6 mchana, yeye alifika saa 5:45, tume ikamchelewesha kupitisha form zake hadi saa 2 usiku, ulitaka afanyeje? Au tume ndio ilikuwa ikibeba vyuma? Hata kama una chuki binafsi basi ndio ujiropokee tu?
Kwan kwenye kurejesha form akibeba chuma Kias achoke kiasi hiko ashindwe kufika Mahakamani!
 
Mbona kama vile mahakama imepigwa ganzi wanashindwaje kutoa amri ya kumkamata au ndio kuogopa mabeberu
Wanafuraha kwa kupata wabunge wa viti maalum 20 walio tangaazwa Jana mmoja akiwemo yule aliye mvua lisu ubunge
 
Serikali ya watu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ipo kwa ajili yetu sote.

Cha kushangaza wakitenda haki na kufanya maamuzi kadri ya sheria na kadri ya matamanio ya Lissu na watu wake serikali inaonekana kumuogopa; na wakitenda haki kadri ya sheria inavyotaka lakini isipowapendeza Lissu na watu wake serikali inaonekana imewaonea.
 
Nani kawaambia mumpige risasi? Msingempiga risasi hizo kesi zenu ukwaju si zingekuwa zimeisha? Kuweni wapole tu, atakuja kwenye kesi zenu baada ya Uchaguzi Keisha, japo mnakereka vumilieni tu kama yeye alivyovumilia maumivu ya risasi, kunyimwa gharama za matibabu na serikali, kufukuzwa Ubunge, watu kuzuiwa wasimuombee nk. Kerekeni tu iblis wakubwa nyie!
Ikifika tarehe 23 Sep. TL akiwa kwenye campaign ataumwa ili 24 asihudhurie kwenye case. Tar. 25 atakuwa amepona na atakuwa anadunda kwenye majukwaa ya campaign tena. Sheria hizi!!
 
Back
Top Bottom