minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wabunge wa hivyo ndiyo huongoza kwa kugonga meza Bungeni kwa kusema ndiyooo ndiyo kila jambo hata la kipumbavu, hao hao ndiyo hupisha Sheria mbovu mbovu mikataba ya hovyo hovyo kwa wingi wao Bungeni.Wanafuraha kwa kupata wabunge wa viti maalum 20 walio tangaazwa Jana mmoja akiwemo yule aliye mvua lisu ubunge