NABEEL SADIO
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 352
- 580
Mpe bi mdashi wako ndio atajua ni kilema au mzimasasa tundu lissu ni mkombozi ama kichaa ambae ni kilema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe bi mdashi wako ndio atajua ni kilema au mzimasasa tundu lissu ni mkombozi ama kichaa ambae ni kilema
Wakombozi wa kweli-kina Mandela, Nyerere na wengine wengi- hupita njia hizi ila mwisho wa Siku muda huwa upande wao.
Ni swala la muda tu.
Salaam Wanajamvi,
TUNDU Lissu ameshindwa kuhudhuria kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi ya uchochezi namba 236 ya mwaka 2017 na ile namba 123 ya mwaka 2017 kutokana kuchelewa kukamilisha taratibu za urejesheji fomu ya utuzi wa kugombea urais wa Tanzania
Leo tarehe 26 Agosti 2020 Wakili wa Serikali Mkuu Simon Wankyo akisaidiwa Renatus Mkude mbele ya Hakimu Mkazi Augustina Mbando wameeleza kuwa mtuhumiwa hakuhudhuria mahakamani hapo leo ikiwa wakili wake Peter Kibatala aliieleza mahakama kuwa Lissu amerejea nchi kutoka kwenye atibabu na kwamba amejiweka karantine kwa siku 14 pia aliiahidi mahakama kuwa leo angemleta Lissu mahakamani hapo.
Rose Moshi mdhamini wa Lissu ameieleza mahakama hiyo Lissu ameshindwa kuhudhuria mahakamani hapo kutokana na kuchelewa kukamilisha taratibu za urejeshaji fomu ya uteuzi kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ambapo mchakato huo uliisha jana saa mbili usiku.
Upande wa jamhuri haukuwa na pingamizi lolote juu ya malezo hayo Hakimu Mbando ameahilisha shauri hilo mpaka tarehe 24 Septemba mwaka huu.
Kwenye shauri hilo Lissu anatuhumiwa kwa kutoa maneno ya uchochezi .
Inadaiwa kuwa tarehe 17 Julai 2017 Kinondoni Dar es Salaam, alitoa maneno ya kujaza chuki.
Maneno hayo ni kama ifuatavyo:
Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ni ya kibaguzi wa kifamilia , kikabila, kikanda na kidini . Vibali vya kazi work permit vinatolewa kwa wameshenari wa kikatoliki tu huku madhehebu mengine yakielezwa kupanga foleni uhamiaji . Viongozi wakuu wa Serikali wanachaguliwa kutoka kwenye familia kabila na ukanda ...acheni woga pazeni sauti ...kila mmoja wetu...tukawaambie wale ambao bado wanampa msaada wa pesa Magufuli na serikali yake kama tulivyowaambia wakati wa serikali ya makaburu hii serikali isusiwe na jumuiya ya kimataifa isusiwe kisiasa, kiuchumi na kidiplomasia kwa sababu ya utawala huu wa kibaguzi...yeye ni dikteta uchwara.
Wakati huo huo shauri namba 123 la mwaka 2017 lilitajwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Kassian Matembele.
Wakali Peter Kibatala ameeleza mahakama hapo kuwa Lissu ameshindwa kuhudhuria kwa sababu ya kuchelewa kukamilisha taratibu za urejeshaji wa fomu ya NEC.
Shauri hilo nalo limeahirishwa hadi tarehe 24 Septemba 2020.
Lissu anakabiliwa na tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi. Inadaiwa kuwa tarehe 11 Januari akiwa Kombeni mkoani Mjini Magharibi Zanzibar kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Diman anadaiwa kutoa maneno yenye udini na yenye kuchochea.
"Kwahiyo hicho kinachoitwa uchaguzi wa marudio uharamia mtupu, haramu, haramu ...kinachoitwa uchaguzi wa marudio ni haramu tupu nyie ni Waislam sana naomba niseme uharamu wa uchaguzi wa marudio wa mwaka jana hautofautiani na kula Nguruwe kwa wala nguruwe hawa nilikuwa nazungumzia yaliyokuja baada ya wala nguruwe hawa kufanya uharamia wao...laana tullah"
Nje ya Mahakama
Viunga vya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kulikuwa na ulinzi wa jeshi la Polisi.
Hapakuwa na mfuasi au mwanachama hata mmoja wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Zaidi, soma:
Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020
shwain wewe hata kuongea huwezi kanyonye dushe la mumeo akili zikurudiKwan kwenye kurejesha form akibeba chuma Kias achoke kiasi hiko ashindwe kufika Mahakamani!
wakubwa gani unaongelea?Ahhhh. We bwana una lugha za kimtandao. So kuvunja sheria ndo Mandela na Nyerere. Mkuu unaumwa. Tafuta tiba. Ila usione kobe kainama. Jiandae kisaikolojia. Sheria Ni hizi hizi kwa wote. One mistake one goal. Kosa kubwa sana mnalofanya Ni kudharau akili za wakubwa wa nchi.
Wana mlia timingHakuna mtu wa kumgusa Lisu kipindi hiki.
Wanasubiri akiliwa kichwa kwenye sanduku la kura asilalamike kuonewa
Sheria msumemo inatakiwa ikate kotekote wapinzani wakijaza vibaya fomu mnawaengua mapemaa!Serikali ya watu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ipo kwa ajili yetu sote.
Cha kushangaza wakitenda haki na kufanya maamuzi kadri ya sheria na kadri ya matamanio ya Lissu na watu wake serikali inaonekana kumuogopa; na wakitenda haki kadri ya sheria inavyotaka lakini isipowapendeza Lissu na watu wake serikali inaonekana imewaonea
Akili za walevi wa madaraka hizi!!
Mpe bi mdashi wako ndio atajua ni kilema au mzima
Watz wote watamchagua Magufuli ili awakandamize tena kwa miaka mingine tenaSawa. Itakosekana kura yake moja tu.
Kulalamikia makato ya marejesho ya mkopo utakaowezesha wadogo zako au wanao wapate elimu ya juu bila vikwazo vya kiuchumi ni usaliti mkubwa kwa taifa lako na nduguzo.Msaliti ni yule (CCM) alioongeza Makato bodi ya MIKOPO kwa 15% kwa watumishi wa UMMA
Huna lolote wewe zaidi ya kutetea WEZI NA Mafisadi wa CCM. Ushetani umekukaa kichwani huoni jema bali giza totoro. Unashangilia wezi na Majizi utapata faida gani hapa ulimwenguni na mbinguni?Kulalamikia makato ya marejesho ya mkopo utakaowezesha wadogo zako au wanao wapate elimu ya juu bila vikwazo vya kiuchumi ni usaliti mkubwa kwa taifa lako na nduguzo.
Unataka usome peke yako nduguzo wakupigie magoti na kukutukuza kama mfalme wao wa ukoo?
"Erectile Dysfunction", 🤣 🤣 🤣 Wewe bwana vipi...!!!!Kumbe NEC walimchelewesha Mh Lissu kumtengezea mazingira mazuri kwa mahakamani? Nimeanza kuamini kuwa mushachoshwa na kufanywa vikaragosi. Taabani roho zenu. Mukimuendekeza mkuu wa Kaya mutapata erectile disynfunction kwa msongo wa mawazo!
Wanajua vizuri kuwa hakuna kesi hapo ni mbinu za Bw. Magufuli kupambana na wabaya wake. That's all.Mbona kama vile mahakama imepigwa ganzi wanashindwaje kutoa amri ya kumkamata au ndio kuogopa mabeberu
Kampikie Baba D chakula haya Mambo akili yako haina uwezo ni makubwa Zaid ya akili yako.Serikali ya watu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ipo kwa ajili yetu sote.
Cha kushangaza wakitenda haki na kufanya maamuzi kadri ya sheria na kadri ya matamanio ya Lissu na watu wake serikali inaonekana kumuogopa; na wakitenda haki kadri ya sheria inavyotaka lakini isipowapendeza Lissu na watu wake serikali inaonekana imewaonea.