Shahidi ashindwa kumleta Tundu Lissu Mahakamani Kisutu, Kesi yaahirishwa hadi tarehe 24 Septemba 2020

Robert Amsterdam ameweka heshima,
Unaanzane kumwira raisi mtarajiwa kwenye kesi za kipuuzi
 
kamtumikie Basha wako Bashite
 
Lissu ni master mind wa hizi mambo, Jamaa yupo Dodoma anapangua mapingamizi ya kijinga jinga na kihuni huni ya wahuni na wajinga
 
Wakombozi wa kweli-kina Mandela, Nyerere na wengine wengi- hupita njia hizi ila mwisho wa Siku muda huwa upande wao.

Ni swala la muda tu.

sasa tundu lissu ni mkombozi ama kichaa ambae ni kilema
 
Tundu Lissu, mbona maneno ya kawaida hayo kwenye uringo wa kisiasa.
 
Tundu lissu amefanya kusudi ili afutiwe dhamana
Hakuna Kiki Wala kukatwa mgombea,tunataka ushindi usio na kelele
Sasa inakuwaje majimboni mjitangaze mmepita bila kupingwa ilihali kuna wagombea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…