Shahidi ashindwa kumleta Tundu Lissu Mahakamani Kisutu, Kesi yaahirishwa hadi tarehe 24 Septemba 2020

Wakombozi wa kweli-kina Mandela, Nyerere na wengine wengi- hupita njia hizi ila mwisho wa Siku muda huwa upande wao.

Ni swala la muda tu.

Ahhhh. We bwana una lugha za kimtandao. So kuvunja sheria ndo Mandela na Nyerere. Mkuu unaumwa. Tafuta tiba. Ila usione kobe kainama. Jiandae kisaikolojia. Sheria Ni hizi hizi kwa wote. One mistake one goal. Kosa kubwa sana mnalofanya Ni kudharau akili za wakubwa wa nchi.
 

Ndiyo raha ya kuwa mbobezi wa sheria. Haya yanayoendelea mahakamani kisutu Ni upotezaji wa resources. Hakuna kesi hapo.
 
Kwan kwenye kurejesha form akibeba chuma Kias achoke kiasi hiko ashindwe kufika Mahakamani!
shwain wewe hata kuongea huwezi kanyonye dushe la mumeo akili zikurudi
 
wakubwa gani unaongelea?
au hawa wa KIJANI na babayao MEKO ambao ndo maarufu kwa kuropoka jifanyeni mmesahau miropoko yake alipowaambia waathirika wa tetemeko KAGERA kuwa tetemeko hakulileta yeye hivo msimsumbue kuombomba misaada. akawambia kwanza nyinyi '' katererro nyinyi.. ukimwi nyinyi... tetemeko nyinyi.. jamaani?
haya nambie hizi ni akili za wapi?
 
Sheria msumemo inatakiwa ikate kotekote wapinzani wakijaza vibaya fomu mnawaengua mapemaa!
 
Msaliti ni yule (CCM) alioongeza Makato bodi ya MIKOPO kwa 15% kwa watumishi wa UMMA
Kulalamikia makato ya marejesho ya mkopo utakaowezesha wadogo zako au wanao wapate elimu ya juu bila vikwazo vya kiuchumi ni usaliti mkubwa kwa taifa lako na nduguzo.

Unataka usome peke yako nduguzo wakupigie magoti na kukutukuza kama mfalme wao wa ukoo?
 
Huna lolote wewe zaidi ya kutetea WEZI NA Mafisadi wa CCM. Ushetani umekukaa kichwani huoni jema bali giza totoro. Unashangilia wezi na Majizi utapata faida gani hapa ulimwenguni na mbinguni?
 
Hahaha Lisu kawagomea kweli, nilidhani anatania.
Mahakama haiwezi kumfuata?!
 
Kumbe NEC walimchelewesha Mh Lissu kumtengezea mazingira mazuri kwa mahakamani? Nimeanza kuamini kuwa mushachoshwa na kufanywa vikaragosi. Taabani roho zenu. Mukimuendekeza mkuu wa Kaya mutapata erectile disynfunction kwa msongo wa mawazo!
"Erectile Dysfunction", 🤣 🤣 🤣 Wewe bwana vipi...!!!!
 
Mbona kama vile mahakama imepigwa ganzi wanashindwaje kutoa amri ya kumkamata au ndio kuogopa mabeberu
Wanajua vizuri kuwa hakuna kesi hapo ni mbinu za Bw. Magufuli kupambana na wabaya wake. That's all.
 
Kampikie Baba D chakula haya Mambo akili yako haina uwezo ni makubwa Zaid ya akili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…