Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ebu kuwa serious kidogo.sile sms zinaweza kutengenezwa tu toka mtandao husika, sauti inaweza kuchongwa vile vile kama ile ya Mbowe eti kumtaka wema enzi zile...Ila Mbowe kweli Ukubwa jalala, kapitia mengi sana huyu MWAMBA.
Kwa mtu laini laini tayari kashanyoosha mikono juu mwendo wa mateka moja kwa moja Lumumba kusajiliwa... lakini ngoma IMEGOMA katu katu... huu ndiyo UANAUME.
Siyo unabinywa kidogo, kesho yake IKULU kuomba msamaha kwa machozi.
Mkuu, ngoja kwanza tumsikilize na huyu shahidi wa tatu, asije akatuangusha kama wale wawili waliotangulia.ebu kuwa serious kidogo.
Kosa lako ni moja tu!Kati ya Haki na Unafiki wewe umechagua Unafiki.So Tz huipendi.Najua ukiwa pekeako hapo unaujua ukweli ambao ata sisi tunaujua Ila ukija kwenye keyboard kusaka malipo unajitia uchizi, sometimes usijitie upofu kumbuka Kuna kifo na Kuna hukumu kwa Mungu.You are the idiot one....Hujui hata tofauti ya mwanachama na shabiki!! Umeweka ushabiki wa kijinga mbele
Upumbavu mwingine bwana...tofautisha basi gaidi na guide!! Usiwe kama huyu fulishiWe mfuasi wa kampuni ya Mbowe acha kuangaika usiku...mbowe atafungwa tu ni guide yule...mnakosea mnapo tafsiri hili swala la mbowe kisiasa...mbona ushahidi upo wazi sana kuliko hata zile kesi za Sabaya za kuunga unga ushahidi
Guide ni kiongozi wa watalii, Wewe mwanaapolo fake! Mbowe siyo guide!Acha hoja za kitoto sana kwenye mambo ya facts ya kwamba mbowe ni guide..yapaswa hata kesho asomewe hukumu anaisumbua mahakam
Wewe unajua mambo sana, hadi ‘Perjury’ unaijua, lakini ujinga wa kutunga kama hii kesi ambayo hata mtoto ndogo anajua, Wewe hujui!Kwa pointi yako ni kwamba Mtu wa karibu wa Mbowe (e.g. Mukya), hawezi kuwa shahidi wa utetezi? Sababu tu amekuwa karibu sana na Mbowe kwa muda mrefu? Unajua kwamba kuna kuapa mahakamani kabla ya kutoa ushahidi? Unajua kitu kinaitwa "Perjury"?
shida ni kwamba hata majaji na mahakimu wetu wanaendeshwa na wanafanya kazi yao kwa uoga sana. Huyu shahidi alipaswa awekwe custody mpaka kesi iishe au ahukumiwe on the spot kwa kitendo hicho. Lakini hiyo yote inategemea weledi na usimamizi wa haki wa jaji anayehusika.Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi wa pili kinatosha kumfunga au kutaka Chama cha mapinduzi kinachotuhumiwa kutumia Polisi na wanachama wa chama hicho kuidanganya mahakama kufika mahakamani kujieleza kuhusu utata uliojitokeza juu ya ushahidi unaoendelea.
Katika ushahidi uliotolewa shahidi huyu wa pili amekana kutokuwa na affiliation na chama cha siasa. Lakini jamii au public ambayo inamjua shahidi imesambaza Taarifa zake zinazothibitisha kuwa alikuwa kada wa CCM.
Jambo la pili shahidi huyu imethibitika kwamba alikuwa mwajiriwa wa Sabaya lakini walihitilafiana kisha akakamatwa na kubambikiwa kesi ambayo baadaye ilifutwa. Leo anasimama mahakamani kusema kwamba alishirikishwa na Mbowe kumdhuru Sabaya. Huu ni ukakasi wa pili kuhusu credibility ya mahakama kumruhusu mtu Kama huyu kusimama mbele ya Jaji akajitungia. Story.
Lakini kwa kiburi baada ya kuona ushahidi wake unakinzana na ukweli wa akaunti yake ya Facebook amedelete akaunti hiyo. Je, hao waliompanga walishindwa kupitia hata account zake za mitandao ya kijamii kuona zinavyoweza kuathiri kesi jhii hadi anafika kutoa ushahidi? Huu uzembe mkubwa hivi unaashiria nn kuhusu umakini wa vyombo vya dola?
Lakini pia huyu bwana aliajiriwa kuwa msaidizi wa katibu wa CCM longido na hata alipohitilafiana na Sabaya alirejea huko, je huko alikoajiriwa mwajiri alimwajiri mtu aliyekinyume na itikadi ya chama ?
Ila pia uhusika wa Pole pole, Bashiru, Gambo na Dagaro unamtenganisha vipi na chama Tawala?
Kitu chakushangaza wakati anakamatwa alikutwa na dola zakutosha na tshs zakutosha ambazo anadai alitoka kuuza mbogamboga lakini mtu huyo anayetembea na zaidi ya milioni mbili mfukoni anasema alikuwa akipewa shs elfu hamsini na Mbowe.......huu ugaidi huu
Hii Ni fedhea nyingine kwa mahakama na Serikali ,tengenezeni mambo yenye logic siyo watu wa aina hii ambao wamekaririshwa.
Sorry kama umekwazika, problem watu wanajitia upofu kisa ushabiki!! Shahidi kasema yeye siyo mwanachama, hajasema yeye siyo shabiki! Ni nini hapo kigumu kueleweka?? Mwanachama anakuwa na kadi, yupo kwenye database ya chama, analipia michango, anashiriki vikao vya chama, na anauwezo wa kugombea nafasi yeyote ya uongozi ndani ya chama but anyone anaweza kuwa shabiki na hakuna popote pa kudhibitisha!! Ni kazi ya akina Kibatala kudhibitisha kama jamaa ni mwanachama or hapana, wakiweza kudhibitisha hilo ushahidi wa jamaa unakuwa void kwa sababu anakuwa kadanganya mahakama chini ya kiapo!! Mahaba kwa Mbowe yasiwatoe kwenye reasoningKosa lako ni moja tu!Kati ya Haki na Unafiki wewe umechagua Unafiki.So Tz huipendi.Najua ukiwa pekeako hapo unaujua ukweli ambao ata sisi tunaujua Ila ukija kwenye keyboard kusaka malipo unajitia uchizi, sometimes usijitie upofu kumbuka Kuna kifo na Kuna hukumu kwa Mungu.
Kauli zenu kwamba hatoboi kwenye hii kesi hazitofautiani sana na zile za kusema hashindi ubunge! Mnaonekana mna uhakika fulani wa jambo lenu! Na kwa mnavyo sisitiza hata mimi naanza kuwaamini!Sioni haja ya wafuasi wa gaidi Mbowe kulialia humu,yule hatoboi,ambieni ndugu zake waanze matanga
Mwenye macho haambiwi tazamaSasa hivi kila mwanachadema ni mwanasheria, duh!
Tulieni mahakama ifanye kazi yake.
Shahidi kuifunga akaunti yake ni hiari yake na haiingiliani wala kuathiri mwenendo wa kesi ya Mbowe.