Mbona sio hao tu watakaokula Pesa ya hazina bure wapo wengi tu. Huu ndio ufisadi wa karne Mpya. Vitakuja vyama 15 vikiongozwa na shibuda vitatoa mashairi yao ya uzalendo koko watachotewa hela hazina watatulia.Wanaenda fungua kesi mahakama itazuia kufutwa kwao sababu kesi inasikilizwa na kesi itaenda mpaka 2025 na baada ya hapo wataenda sisiemu, loser ni chadema! Mdee, bulaya, matiko wana influence kubwa sana kwa kina mama, ambao ndio wapigaji kura wakubwa..
Upepo ukichachamaa. Watachukuliwa wasanii watazunguushwa kwenye miradi hazina itagharamia ziara kwa mafungu yaliopo wizara ya habari.
Wakiendelea kuona upepo hausomeki ziara ya wanahabari kutembelea hifadhi gharama wizara ya utalii.
Watumishi wa umma wanadai Madeni ya tangu mwaka 2015/2016 mpaka sasa, malimbikizo mpaka sasa. Huu nao ni ufisadi Mpya.
Kwa kuwa hakuna sheria yoyote inayofanya kazi nasi tumeruhusu kwa kuanua kuwapuuza wavunjasheria kwa mustakabari wa amani ya nchi yetu wataendelea kuingia bungeni bila kuwa wabunge wa chama chochote na wala bila kutengua kanuni kwa muda kuwaruhusu kuingia bungeni
CCM oyeeee!!! Vioongozi wote wa chama na serikali oye!