Shaka afurahishwa na DIT kuhamisha magari 1,000 kutoka mfumo wa mafuta kwenda wa gesi. Ampongeza Rais Samia kwa kutoa TZS 100BL kwa ajili ya CNG

Shaka afurahishwa na DIT kuhamisha magari 1,000 kutoka mfumo wa mafuta kwenda wa gesi. Ampongeza Rais Samia kwa kutoa TZS 100BL kwa ajili ya CNG

ni wazo zuri mno na nchi itasogeza uchumi wake kwa kasi big up sana Bimkubwa

mambo mawili ya kuangalia

1. Je gesi tunayo ya kutosha kuendesha magari mangapi kwa miaka mingapi

2.Je tunajipangaje na mabeberu watakuja kudai tunaongeza carbon dioxide emissions duniani na global warming kwa kuchoma gesi kwenye kuendeshea magari

ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom