Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Bado hajakomaa vizuri...Kazi iendelee, Shaka apewe Urais tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hajakomaa vizuri...Kazi iendelee, Shaka apewe Urais tu
Utakomaa huko huko 😂😂😂Bado hajakomaa vizuri...
Urais siyo lelema mama... Vyeo vingine sawa yoyote anaweza pata ila siyo Urais...Utakomaa huko huko 😂😂😂
Sawa ila huyu bwana anakila sifa ya kuongoza nchi,Urais siyo lelema mama... Vyeo vingine sawa yoyote anaweza pata ila siyo Urais...
Sahihi kabisa 100%Nasema kama kuna mtu hata pata pesa wakati huu wa Rais Samia nasema kamwe hatokuja kupata mpaka anakufa
Hongera sana Mama SamiaView attachment 2382709
SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI SHAKA
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa kutekeleza falsafa ya uchumi kuongozwa kwa misingi ya kiuchumi..
View attachment 2382796
Shaka ameyasema hayo leo Oktoba 9, 2022, Kibaha mkoani Pwani alipotembelea Maonesho ya Tatu ya Uwekezaji na Biashara Mkoa wa Pwani amesema misingi hiyo ni pamoja na kuvutia wawekezaji, ushirikishaji sekta binafsi na kutumia diplomasia badala ya mabavu katika kufungua uchumi.
View attachment 2382798
"Leo ni takribani siku 558 tangu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa nchi yetu, ambapo baada ya kiapo alitoa mwelekeo wa serikali atakayoiunda na kuiongoza kuwa, nia yake ni kuifungua nchi kiuchumi.
"Sote ni mashuhuda tumeanza kushuhudia akiruhusu misingi ya falsafa za uchumi kuongoza uchumi badala ya nguvu za kiutawala. Tumeshuhudia Rais Samia akitumia taaluma yake ya uchumi na uzoefu wake wa kiuongozi na masuala ya kidiplomasia akibadili kabisa mazingira na kasi ya utekelezaji wa mipango ya maendeleo," amesema.
Shaka amesema ndani ya kipindi hicho kupitia diplomasia ya uchumi Rais Samia amefanikiwa kutafuta na kuvutia wawekezaji, kuimarisha mazingira ya biashara na kuongeza shughuli za uzalishaji zitakazoongeza ajira na mapato ya serikali.
Aidha, amesema ameimarisha mazingira ya bishara na uwekezaji kwa kuondoa urasimu, ukusanyaji kodi wa mabavu, kufanya maboresho ya sheria na mifumo mbalimbali kwa lengo la kuondoa kero kwa wafanyabiashara na wawekezaji ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ibara 22, 46 na 49.
Akiwa katika maonyesho hayo, Shaka ambaye aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Sara Msafiri ametembelea mabanda mbalimbali yanayoshiriki maonesho hayo yakiwamo ya taasisi za umma, binafsi na wajasiriamali.
Tatizo letu uwezo wa hoja hamna,Naona chawa wako kazini kupima kina cha maji
Fafanua,Wanasiasa wa Africa
SureUtakomaa huko huko 😂😂😂
Kazi iendelee, TANZANIA tuko Uelekeo sahihi,View attachment 2382709

Kada umekuwaje?!ipo wapi?
Wewe ndio Mandonga?Nasema kama kuna mtu hata pata pesa wakati huu wa Rais Samia nasema kamwe hatokuja kupata mpaka anakufa
unaifahamu ngumi naitwa "Ndoige "Wewe ndio Mandonga?
Kweliunaifahamu ngumi naitwa "Ndoige "
CCM ni kama Ndoige