Shaka Hamdu Shaka mgeni rasmi " The Big Praise Concert " FPCT Kurasini

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Praise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana,

Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada za makundi mbalimbali katika kujiletea maendeleo yao endelevu,

===

IMG-20221119-WA0193.jpg
 
Wakati CCM inatatua na kusapoti makundi Mbalimbali wale wenzangu hata Ofisi imewashinda Miaka 30 Leo,

Hongera sana Mwenezi Chama kinakutegemea sana kukivusha,
 
Kila lenye heri boss kubwa Shaka Hamdu Shaka, Kazi ya Chama chochote cha Siasa ni kutatua shida za watu, to provide solution,
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Prise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana,

Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada za makundi mbalimbali katika kujiletea maendeleo yao endelevu,

===

View attachment 2421447
Kuna kiingilio?
 
Naona Sheka keshapata platform ya kwenda kumpopoa Bashiru! 😀😀😀
Ngoja tukae mkao wa kula maana Bashiru amewakataza wakulima kujiunga kwenye 'kwaya ya kusifu na kuabudu' 😄😄😄
 
Dkt Bashiru anazeeka vibaya Mzee wangu Yule
 
Leo Kenani kamvua ubunge Bashiru. Eti anamuita ndugu, badala ya mh.
If that will be the case, bora hako ka slot mama aniweke mie 😀😀😀
Hahaha Bashiru ni kiongozi mzuri ameteleza tu atajisahihisha
 
Ninaomba kuwe na mdahalo LIVE kati ya vijana wa CCM na CDM ili tuone vijana wanaojitambua na wale wenye upeo duni wa kufikiri. mdahalo huu uwe ktk TV 2 kubwa; ITV na AZAM
 
CDM kama Mkt wenu tu Kafeli F6 ,Katbu Mkuu ni F6 mnataka kujadili nini na Chama tawala vyenye kila mtu?
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Prise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana,

Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada za makundi mbalimbali katika kujiletea maendeleo yao endelevu,

===

View attachment 2421447
Prise ni kujikakamua. Mnataka Shaka ajikakamue ili iweje jamani?
 
Back
Top Bottom