econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Prise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana,
Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada za makundi mbalimbali katika kujiletea maendeleo yao endelevu,
===
View attachment 2421447
FPCT wanapoelekea ni kubaya. Wameanza kuita wanasiasa kanisani kwao. Kwanini wasimkaribishe hata Askofu wao wa Jimbo?