econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Sasa mambo ya Kabisa yanakuhusu nini?
Mbona MBowe kila siku yuko makanisani?
Kabisa×
Kanisa✓
Jifunze kuandika.
Halafu mwislamu anaenda kuongea Nini kwenye ibada ya kusifu na kuabudu ya wapentekoste?. Mbowe alionekana kanisani akitoa shukrani baada ya kesi yake kufutwa. Mbowe alikuwa kanusani kwake huyu shaka anaenda kupiga siasa kwenye kanisa. Kweli FPCT aliondoka nayo batenzi.