zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
UDSMKasoma chuo gani Mnyika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UDSMKasoma chuo gani Mnyika?
mfumuko wa bei ni chini ya 4% which is good,
Elimu kwa Nani?Umetaja chama. Chama Cha CHADEMA kilitoa taarifa siku hiyo na kutoa ushauri kwamba kutolewe elimu jinsi ya kuepusha madhara hayo huko mbeleni.
Ndio hakumalizaUDSM
mfumuko wa bei ni chini ya 4% which is good,
Inflation ratio,Kweli CCM Kuna shida. Hiyo asilimia nne unajua inamasnisha Nini?
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Oktoba, 2022 umeongezeka hadi asilimia 4.9 kutoka asilimia 4.8 kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba, 2022. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Oktoba, 2022 imeongezeka ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba, 2022. Fahirisi za Bei zimeongezeka kutoka 103.61 mwezi Oktoba, 2021 hadi 108.73 mwezi Oktoba, 2022.Inflation ratio,
Kwanza Ile ofisi hatujapanga majengo yalishanunuliwa na Mnyika alipoingia akanunua jengo jingine mkabala na ofis kuongeza space.Jibu kwanza hizo 25bl kweli mmeshindwa kujenga Ofisi hata ya 3bl kweli,
Mfumuko wa bei umeshuka, your not well informedMfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Oktoba, 2022 umeongezeka hadi asilimia 4.9 kutoka asilimia 4.8 kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba, 2022. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Oktoba, 2022 imeongezeka ikilinganishwa na kasi iliyokuwepo kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba, 2022. Fahirisi za Bei zimeongezeka kutoka 103.61 mwezi Oktoba, 2021 hadi 108.73 mwezi Oktoba, 2022.
Elimu kwa Nani?
Unafahamu lile jengo na BAWACHA Sungura alishawanyang'anya?Kwanza Ile ofisi hatujapanga majengo yalishanunuliwa na Mnyika alipoingia akanunua jengo jingine mkabala na ofis kuongeza space.
Then ofisi zimejengwa almost Kanda zote na juzi tu hapa wametoa takwimu ya ofisi za mikoani zilizojengwa kwa kushirikiana na makao makuu. Na akaeleza mchakato wa kujenga makao makuu utafanyika wakimaliza ofisi za mkoani.
Ni vizuri tuache upotoshaji hizo issue za kupanga zimeshakanushwa tokea 2012 na Tumaini Makene na Dr Slaa kwa ID zao verified kabisa.
Sio hakumaliza walimfukuza sababu ya issue za mgomo ila alikua yupo 3rd year sasa utasemaje huyo ni form 6?Ndio hakumaliza
Hili linafanyika mashuleni ndio maana Majaliwa aliwezaKwa abiria, wafanyakazi na wananchi wanaoishi karibia na Uwanja wa ndege.
Shule ni Cheti mkuuSio hakumaliza walimfukuza sababu ya issue za mgomo ila alikua yupo 3rd year sasa utasemaje huyo ni form 6?
Ni sawa na PhD candidate ambaye hajamaliza thesis huwezi kusema ni sawa na mtu ambaye ana masters. Elimu ya Degree anayo alichonyimwa ni kile cheti tu
Mfumuko wa bei umeshuka, your not well informed
Wakristo sio vilaza ila wanauishi upendo wakuwa na amani na watu wote.Yaani wakristo kuna wakati ni vilaza.
Tangu lini mwislam akuslike mkristo kwenye ibada zao?
Huyu atasema nini kuhusu Kristo?.
Prise au praise?
Nenda angalia TAARIFA ya BoTWewe ndio hauko informed. Hiyo ni taarifa currently ya NBS National Bureau of Statistics. Chombo Cha serikali ya CCM sijui wewe unabisha Nini?.
Acheni propaganda zisizo na maana, huyo Sungura ambaye aliingizwa Chadema na Mbowe akiwa Hana political base na kupewa ubunge ndio aje kugeuka mdhamini wa chama? Embu kuweni serious kidogo.Unafahamu lile jengo na BAWACHA Sungura alishawanyang'anya?