Shaka Hamdu Shaka mgeni rasmi " The Big Praise Concert " FPCT Kurasini

Hili linafanyika mashuleni ndio maana Majaliwa aliweza

Acha ubishi, suala la Majaliwa ni Mungu tu alisaidia. Fanyeni mabadiliko, maana juzi Kuna ndege ya ATCL imeshindwa kutua ikarudi zake Dar. Halafu unatetea ujinga. Fanyeni kazi punguzeni sifa za kijinga Kama alivyosema Badhiru. Watanzania 19 wamefariki mita chache kutoka kwenye uwanja wa ndege.
 
Acheni propaganda zisizo na maana, huyo Sungura ambaye aliingizwa Chadema na Mbowe akiwa Hana political base na kupewa ubunge ndio aje kugeuka mdhamini wa chama? Embu kuweni serious kidogo.
Nenda kaulize kama hufahamu, au Mpigie yeye mwenyewe
 
Acha ubishi, suala la Majaliwa ni Mungu tu alisaidia. Fanyeni mabadiliko, maana juzi Kuna ndege ya ATCL imeshindwa kutua ikarudi zake Dar. Halafu unatetea ujinga. Fanyeni kazi punguzeni sifa za kijinga Kama alivyosema Badhiru. Watanzania 19 wamefariki mita chache kutoka kwenye uwanja wa ndege.
Hilo lilikuwa ni Tatizo la hali ya hewa tu, Mbona Juzi Mwamposa katua pale vizuri tu
 
Shule ni Cheti mkuu
Acha utani, hivi unajua mtu akisoma masters akashindwa dissertation anapewa option ya kupewa Cheti Cha postgraduate diploma?? In fact Kuna vyuo undergrad inapewa associate degree kama hukumaliza units zote.

Meaning elimu ni content kama alinyimwa cheti haimfanyi kutokuwa msomi wa degree.
 
Nisawa na kujua kuendesha gari bila leseni
 
Nenda kaulize kama hufahamu, au Mpigie yeye mwenyewe
Wewe ndio umeleta uongo inatakiwa uprove she was a nobody kwenye siasa in fact alikua anamdate Meya wa Chadema kigoma Ili aendelee kuwa relevant kwenye siasa!! Eti ndio awe mdhamini wa chama!! Get serious
 
Back
Top Bottom