Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
Ilete hiyo taarifa. Mimi nimekuletea ya NBS ya October 2022. Ambayo ndio current.
Nitafanya hivyoNasubiria serikali ya CHADEMA mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilete hiyo taarifa. Mimi nimekuletea ya NBS ya October 2022. Ambayo ndio current.
Nitafanya hivyoNasubiria serikali ya CHADEMA mkuu.
Tatizo hujanielewa.Wakristo sio vilaza ila wanauishi upendo wakuwa na amani na watu wote.
#MaendeleoHayanaChama
Praise ConcertPrise concert?
Huyo Mungu unayemtumikia anasisitiza Kubaguana,Tatizo hujanielewa.
Upendo wa kumpa mimbari asiyeamini?
Upendo wa kutaka mchango wa asiye amini?.
Upendo wa kikristo ni huu;
1. Kuhubiri habari njema kwa wasio amini
2. Kuponya wagonjwa
3. Kuwahurumia wenye mateso
Unafikiri lengo la Shaka kualikwa ni mojawapo kati ya niliyoyataja?. Hapana
Unafikiri Shaka amehudhuria kwasababu anaupenda Ukristo? Hapana.
1. Shaka amealikwa akatoe changizo...tamaa ya pesa kanisani imezidi.
2. Shaka ameenda kwa interest za kisiasa.
Katika hili Shaka ni mshindi na Wakristi waliomwalika ni ma looser square.
Huwezi elewa
Nyie ndio wale wafanyabiashara hekaluni ambao mlilambwa viboko na Yesu hadi mkajilowanisha mikojo.Huyo Mungu unayemtumikia anasisitiza Kubaguana,
Ndio maana nimeavhana na kwenda kanisani na kuachana na Ukrsto, nilikuwa MsabatoKatibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Praise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana,
Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada za makundi mbalimbali katika kujiletea maendeleo yao endelevu,
===
View attachment 2421447
Huyo Mungu unayemtumikia anasisitiza Kubaguana,
Mungu wetu ni Mungu wa Upendo,Nyie ndio wale wafanyabiashara hekaluni ambao mlilambwa viboko na Yesu hadi mkajilowanisha mikojo.
Acheni siasa kanisani.
Shaka angehudhuria praise and worship kama wahudhuriaji tu na sio mgeni rasmi hapo sahihi.
Biblia inauliza...kuna urafiki gani kati ya mwanga na giza?
Nikweli mpaka sasa hakuna kugawiana umeme wala maji kigumu Chama chetuWakati CCM inatatua na kusapoti makundi Mbalimbali wale wenzangu hata Ofisi imewashinda Miaka 30 Leo,
Hongera sana Mwenezi Chama kinakutegemea sana kukivusha,
lakini hata hivyo Ndg yangu CCM haileti mvua Tanzania Ila ni MunguNikweli mpaka sasa hakuna kugawiana umeme wala maji kigumu Chama chetu
Wacha weee! Dubai Mvua analeta nani?lakini hata hivyo Ndg yangu CCM haileti mvua Tanzania Ila ni Mungu
Safi Sana Shaka hakuna mambo ya Udini hapa TanzaniaKatibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Praise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana,
Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada za makundi mbalimbali katika kujiletea maendeleo yao endelevu,
===
View attachment 2421447
Nzuri Sana hiiKatibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Praise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana,
Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada za makundi mbalimbali katika kujiletea maendeleo yao endelevu,
===
View attachment 2421447