CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Ofisi wanajengaje wakati wao wakati wowote watatawanyika?Wakati CCM inatatua na kusapoti makundi Mbalimbali wale wenzangu hata Ofisi imewashinda Miaka 30 Leo,
Hongera sana Mwenezi Chama kinakutegemea sana kukivusha,
Kuna kiingilio?Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Prise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana,
Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada za makundi mbalimbali katika kujiletea maendeleo yao endelevu,
===
View attachment 2421447
hakuna chief,Kuna kiingilio?
Dkt Bashiru anazeeka vibaya Mzee wangu YuleNaona Sheka keshapata platform ya kwenda kumpopoa Bashiru! 😀😀😀
Ngoja tukae mkao wa kula maana Bashiru amewakataza wakulima kujiunga kwenye 'kwaya ya kusifu na kuabudu' 😄😄😄
Leo Kenani kamvua ubunge Bashiru. Eti anamuita ndugu, badala ya mh.Dkt Bashiru anazeeka vibaya Mzee wangu Yule
Hahaha Bashiru ni kiongozi mzuri ameteleza tu atajisahihishaLeo Kenani kamvua ubunge Bashiru. Eti anamuita ndugu, badala ya mh.
If that will be the case, bora hako ka slot mama aniweke mie 😀😀😀
Matusi tena Bwana SheeePumbavu tutolee mikelele Yako hapa
CDM kama Mkt wenu tu Kafeli F6 ,Katbu Mkuu ni F6 mnataka kujadili nini na Chama tawala vyenye kila mtu?Ninaomba kuwe na mdahalo LIVE kati ya vijana wa CCM na CDM ili tuone vijana wanaojitambua na wale wenye upeo duni wa kufikiri. mdahalo huu uwe ktk TV 2 kubwa; ITV na AZAM
CCM ni ile ile tunachoondoa ni kile kibaya tu mazuri yote lazima yaendeleeJanjajanja Zimerudi Tena Ccm Kama Wakati Wa Mzilankende Mnyago Kula Mahindi Pale Dumila
Prise ni kujikakamua. Mnataka Shaka ajikakamue ili iweje jamani?Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Prise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana,
Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada za makundi mbalimbali katika kujiletea maendeleo yao endelevu,
===
View attachment 2421447
Bashiru yuko sahihiDkt Bashiru anazeeka vibaya Mzee wangu Yule
Tutamfukuza Ila aje kwenu CHADEMABashiru yuko sahihi
Kama Hujaeleweka nyamaza NsgPrise ni kujikakamua. Mnataka Shaka ajikakamue ili iweje jamani?