Kwa uteuzi huu wa mtu aliyekataliwa na jiwe kwa tuhuma za rushwa .Usiwe na hofu mkuu CCM ipo imara na kinachofanyika ni kufuta nyayo tu njia ipo pale pale au huwaamini Wazenj?
Kwa uteuzi huu wa mtu aliyekataliwa na jiwe kwa tuhuma za rushwa .
Huu ni ushahidi kwamba mama hayupo pamoja na mawazo ya jiwe.
Hahahahaaa,sio kila tuhuma ni lazima udhibitishwe mahakamani,zipo tuhuma zinakukisesha tu sifa ya kuteuliwaMambo ya rushwa yanatakiwa yaishie mahakamani. Huyo jamaa alifikishwa huko na kupatikana na hatia? Huo ndio uthibitisho.
Hili jambo la rushwa na CCM sio ajabu. Kuna wakati hilo neno lilifutwa kwenye kamusi ya hicho chama. Kwa kile kijulikanacho kama rushwa likawekwa neno takrima.Tanzania haikujiandaa kuwa na rais mwanamke.....na hata mama mwenyewe hakutegemea kuwa rais......Haya tunayopitia sasa ni matokeo ya kuendeshwa mambo kisiasa badala ya kuzingatia weledi......
Mtu ambaye ametuhumiwa kwenye sakata la rushwa hasafishiki kwa urahisi......kumteua mtu huyo ni matusi na dhihaka kwa unaowaongoza kama sio unaowatawala........TANZANIA tuna safari ndefu sana.....
kama kawaida yetu, tumejaaliwa majungu na fitina.
sijui hizi tabia za kufitiniana na majungu zitakwisha ln. tabia mbaya sana hizi, nazichukia sana!
viongozi kemeeni tabia hizi
RUSHWA SIO JAMBO GENI KWENYE SERIKALI YA CCM.....LAKINI TUNALAZIMIKA KUIKEMEA KWA KUWA WAO NDIO WALIOPO MADARAKANI....Hili jambo la rushwa na CCM sio ajabu. Kuna wakati hilo neno lilifutwa kwenye kamusi ya hicho chama. Kwa kile kijulikanacho kama rushwa likawekwa neno takrima.
Kwa wengine wote ni rushwa lakini kwa CCM ni takrima. Kangi Lugola alifikishwa hadi mahakamani kwa tuhuma za rushwa. Kesi iliishaje hakuna ajuaye. Wote tunajua alipewa zawadi ya uwaziri wa wizara inayoongoza kwa rushwa! Mifano ipo mingi sana. Ni kama mojawapo ya sera za chama.
Tanzania haikujiandaa kuwa na rais mwanamke.....na hata mama mwenyewe hakutegemea kuwa rais......Haya tunayopitia sasa ni matokeo ya kuendeshwa mambo kisiasa badala ya kuzingatia weledi......
Mtu ambaye ametuhumiwa kwenye sakata la rushwa hasafishiki kwa urahisi......kumteua mtu huyo ni matusi na dhihaka kwa unaowaongoza kama sio unaowatawala........TANZANIA tuna safari ndefu sana.....
Alikotoka pia walimtukana sana ila saivi wanamuita mzee LowasaSio kweli Mbona Lowassa alisafishika week moja, na mafuriko ya watu alipata vizuri tuuu
Magufuli alimsimamisha sababu ya chuki zake tu kwakuwa hakuwa msukuma
Jifunze kufikiri kwa usahihi,unatupa picha hasi kuhusu malezi yako,hebu jaribu kusoma michango yako taratibu,utaona tofauti na ya Wenzio,jf ni kama chuo,watu wanajifunza,lkn kuna wanafunzi wengine ni wapumbavu wanaondoa ile dhana halisi ya kujifunza,michango yako ni wewe na wasukuma,au wewe na jpm,hata km hoja hailengi hapo,wewe unalazimisha mambo ya hovyo hovyo,dili na uwezo wa mtu,usidili na kabira lake,Ndio mnachokijua ni matusi tu, Mama atawanyoosha maji mtaita mma soon,
Kawadanganya MATAGA kuwa yeye na jiwe ni kitu kimoja kumbe alikuwa anataka apite kwa kishindo kwenye mkutano mkuu maalum.Mama ni mjanja ,wewe elewa tu yeye na jiwe ni kitu kimoja.
wewe Kama nani hadi unipangie cha kusema au cha kuandika, mnalipwa ili mumchafue Rais mitandaoni kisa tu sio wa upande wenu,Jifunze kufikiri kwa usahihi,unatupa picha hasi kuhusu malezi yako,hebu jaribu kusoma michango yako taratibu,utaona tofauti na ya Wenzio,jf ni kama chuo,watu wanajifunza,lkn kuna wanafunzi wengine ni wapumbavu wanaondoa ile dhana halisi ya kujifunza,michango yako ni wewe na wasukuma,au wewe na jpm,hata km hoja hailengi hapo,wewe unalazimisha mambo ya hovyo hovyo,dili na uwezo wa mtu,usidili na kabira lake,
Mkuu,huyu task force ana shida ya afya ya akili,dishi limecheza,fuatilia michango yake utaiona,Kwa hiyo haujiisikiza clip aki- discuss kurudisha rushwa kwa diwani? Ipo hapa Jf, kwenye uzi mwingine. Si kila kitu tufanye masihara, utoto, ujinga kama huu unaoufanya hapa.
Twambie sababu iliyo mfanya akimbie usiku usiku kutoka mombasa!Acheni majungu.
Mnasema hafai lkn hamsemi Ni kwa Nini.
Mnasema Mara boflo Mara mlarushwa, aliyemtuhumu kwa rushwa nae Ni mtu Safi? Rushwa kapewa na Nani na kwa Nini?
Kama anatabia zingine msizo taka, je zinamzuia kueneza Sera zetu. SI anaongea na mdomo au anaongea na kitu kingine.
Eti arudishe rushwa kwa madiwani"" we kweli ujitambui, kwaiyo mlitaka iyo nafasi ya katibu mwenezi apewe nani, makonda au masanja au mazikuKwa hiyo haujiisikiza clip aki- discuss kurudisha rushwa kwa diwani? Ipo hapa Jf, kwenye uzi mwingine. Si kila kitu tufanye masihara, utoto, ujinga kama huu unaoufanya hapa.
Wapi mama kachafuliwa?,wewe Kama nani hadi unipangie cha kusema au cha kuandika, mnalipwa ili mumchafue Rais mitandaoni kisa tu sio wa upande wenu,
Hakika huwezi kuitenganisha rushwa na ccm.Hili jambo la rushwa na CCM sio ajabu. Kuna wakati hilo neno lilifutwa kwenye kamusi ya hicho chama. Kwa kile kijulikanacho kama rushwa likawekwa neno takrima.
Kwa wengine wote ni rushwa lakini kwa CCM ni takrima. Kangi Lugola alifikishwa hadi mahakamani kwa tuhuma za rushwa. Kesi iliishaje hakuna ajuaye. Wote tunajua alipewa zawadi ya uwaziri wa wizara inayoongoza kwa rushwa! Mifano ipo mingi sana. Ni kama mojawapo ya sera za chama.