Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

Sukuam gang kazini
 
Kwakua wengine yamkin hagujui majukum ya hiyo nafasi kikatiba nadhan tungeanzia hapo kufahamishwa ni nin hasa jamaa anatakiwa kutekeleza akiea hapo kisha tuangalie experience yake ndio tujue sasa kama anatosha au hatoshi.Haya mambo mengine itakua ni kupiga kelele tu bila msingi.
 
Eti arudishe rushwa kwa madiwani"" we kweli ujitambui, kwaiyo mlitaka iyo nafasi ya katibu mwenezi apewe nani, makonda au masanja au maziku
Nia yao angepewa MADUHU
 
kama kawaida yetu, tumejaaliwa majungu na fitina.

sijui hizi tabia za kufitiniana na majungu zitakwisha ln. tabia mbaya sana hizi, nazichukia sana!

viongozi kemeeni tabia hizi
Majungu yapi wakati Mwendazake alimtangaza waziwazi kuwa amemsimisha kwa sababu amekula rushwa? Majungu gani wakati amedukuliwa akizungumzia milioni kadhaa alizopokea? Ingekuwa vyema kama mamlaka husika ingemuosha kabla ya kumteua. Wangetuambia kuwa alikuwa anawatega wengine na aliyosikia Mwendazake yalikuwa majungu. Tofauti na hivyo watu tutaendelea kuamini kuwa ni mla rushwa mpaka tutqkapoambiwa tofauti.

Amandla...
 
Ulitaka ateuliwe nani?? Toa jina moja tu mkuu
 
Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana.

Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar.

Na akimaliza miti hukuja mwilini.
Weka ushahidi
 
Naamini kuwa Raisi Samia hana mshauri madhubuti au analishwa maboga mwitu nae anavamia,Shaka ? Hivi CCM kumekosa watu ? naona Samia anawachiwa mzigo taratibu.Nilishasema Nchi awaachie wenyewe .
Ambao ni wasukumu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…