Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

Kuna taarifa zimenifikia kutoka chanzo changu cha habari kwamba Bw. Humphrey Polepole kapigwa chini kuwa msemaji wa Chama Taifa na badala yake kuna "Kijana mdoogo" ndio kachukua mikoba...
Unawatage hao watu wakati walizikwa na chifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…