sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Kwani katika hizo teuzi aliyekodiwa ni nani si walikuwemo humohumo? hii ni sawa na kudirishana no. uwanjani halafu ukajisifu kuwa umeimalisha timu.Ccm inazidi kustawi huku kila kiongozi akiwa na zama zake.
Machadema acha yaendelee kukaa kwa amsterdam sisi tuendelee kujenga nchi