Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

Mimi naona anafanya balance Bara na visiwani. Mbona iko wazi hiyo? Katibu Bara, Mwenezi Visiwani. Kuna shida hapo? Akifanya uteuzi watendaji nako anajitahidi balance. Shida iko wapi? Tatizo Tanzania Bara ni kubwa hawezi kufikia kila mkoa au Wilaya. Na pia anaangalia mambo mengi katika uteuzi kama elimu na uzoefu na uchapakazi.
Watu kama hao sio wa kuwajibu mkuu... Watakuchosha
 
Anachofanya mama Samia ni kupiga deki na kihakikisha kuwa hakuna masalia ya jiwe.
20210430_205644.jpg
 
Nikikumbuka lile neno, unaijua vieite ? Ndio akauliza vieite (V8) ndo tunatembelea sisi viongozi wa CCM, sasa saivi anatembelea nn kulger au tako la nyani
 
Shaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa.

=======

Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amemteua Shaka Hamdu Shaka kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.Shaka Hamdu Shaka ndiye Katibu Mwenezi na Itikadi wa Chama cha Mapinduzi CCM akichukua nafasi ya Humphrey Polepole aliye teuliwa kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .

Aliwahi kusimamishwa kazi na Mwenyekiti wake Rais Magufuli wakati huo akiwa Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa kosa la kula rushwa.

1} Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa
Shaka anatia shaka maana aliwahi kutamka kwamba Zitto anapaswa kuuawa, uenezi wake unatia shaka
 
Back
Top Bottom