Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

Polepole alifikia hatua ya kupigia simu hadharani usiku Watendaji wa Serikali kama vile yeye ndio Waziri Mkuu.
you so stu-pid and lazy. hii ni point nayo unaongea. sasa kuna tatizo gani kama anatatua matatizo ya wananchi. ndio maana wakenya wanasema tuna kila kitu lakin hatuwapiti kwa maendeleo, kwa akili kama yako hatuwezi fika.
 
Ndo imetoka hivyo, kwanza kilikua hakina faida yoyote zaidi ya kuchafua hali ya hewa
kivip, au wew ni kati ya watu uliedhulumu watu. haiwezekani watu wapate haki zao kupitia hiki kipindi alafu wew hutaki
 
CCM ni ileile toka enzi ya Baba wa Taifa! Wala usiumize sana kichwa chako,hata Mama nae muda ukifika mtaanza kuona hafai na mtatamani Jiwe arudi tena!!
HAIWEZEKANI kitu kama hicho, kwenye Watanzania walio hai hakuna Mtanzania mwenye roho ya chuki na ukatili kama Mwendazake
 
CCM ni ileile toka enzi ya Baba wa Taifa! Wala usiumize sana kichwa chako,hata Mama nae muda ukifika mtaanza kuona hafai na mtatamani Jiwe arudi tena!!
Katika wote sitatamani jiwe arudi. Hilo jiwe lingewekwa tu aliko kimwili kwa sasa. Anyway Siasa TANZANIA zimekuwa haziaminiki na kutoeleweka. Muhimu pata ugali na familia yako, boresha maisha yako ya sasa na uzeeni. Sitakaa nimuamini mwanasiasa. Hivi unakumbuka tulivyoaminishwa Ufisadi umekwisha? REPORT ya CAG 2019/2020 ndiyo ilinipa hasira mno. Ulimi na jicho la mwanasiasa yoyote yule usiamini. Hata kicheko chake kiogope.
 
Huyo jamaa ni mtu wa hovyo sana, na inavyosemekana alikua ni chakula cha wazee wa chama, kama UVCCM walio wengi
 
kivip, au wew ni kati ya watu uliedhulumu watu. haiwezekani watu wapate haki zao kupitia hiki kipindi alafu wew hutaki
Sijawahi kukiangalia, nadhani kusuluhisha matatizo ya watu kuna viongozi wa kila ngazi wrnye jukumu hilo na sio kipindi cha kwenye TV, halafu mahalama ni chombo cha haki sio polepole
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Samia nafasi zote za juu anawapa ndugu zake wa zanzibar o waislam utasema anachagua viongozi wa madrasa o msikitini,tuna rais wa hovyo haijawahi kutokea toka uhuru.
sawa ngosha .tumekusikia rudi nyumbani buzebazeba kachunge ng'ombe.
 
Mama safisha mpaka chini ya kapeti. Vunjavunja vipuri vyote vya Udikteta. Tunakupenda saana
Nyie ndio wale mazombi...kwani Samia na Magufuli unadhan hawakuwa wamoja...walikuwa wakishauriana kwa kila kitu jomba
 
Back
Top Bottom