Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

Polepole ana shida zake nyingi tu, hafai kuendelea kubaki katika hiyo nafasi ila sio kwa kumleta Shaka... Hivi Shaka ana ushawishi gani huku bara ambapo ndio kwenye mtaji wa kura...

Shaka akishawahi kuwa katibu mkuu wa uvccm nadhani je alitumia nafasi hiyo kufanya nn cha maana
 
Ukitaka mataga wafurahi we waambie maza na marehemu dikiteta magufuli ni kitu kimoja
🤣🤣🤣 Aliwapiga chenga ya mwili. Mama ana akili kubwa. Habwabwaji hovyo kama yule jinamizi. Yeye ni mwendapole wa uhakika. Very strong woman. Our strongest President. Tanzania mpya. Vunjia mbali dikteta na masalia yake.
 
Ukitaka mataga wafurahi we waambie maza na marehemu dikiteta magufuli ni kitu kimoja
YEHODAVA huyu
IMG-20210430-WA0126.jpg
 
Tulisema kuwa huu ndiyo mwisho wa waramba miguu wa jiwe watu wakatubishia ona sasa kina Bashiru na Polepole wanatupiwa virago mchana kweupeeeeee
Nyalandu ameachana nao
 
Back
Top Bottom