Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Alaaa.. Limefikaje kikomo? Wakati kule bunge analo la kwake?Humphrey Polepole, vieite limefika kikomo, jifunze kuwa na adabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaaa.. Limefikaje kikomo? Wakati kule bunge analo la kwake?Humphrey Polepole, vieite limefika kikomo, jifunze kuwa na adabu
Wale ni wabunge ulitegemea wawe bado na nyazifa chamani?Bashiru njeeee
Polepole njeeeee
Kazi bado inasonga
Safi tuko pamoja kuijenga ccm yetu!Anacho fanya mama ni usafi wa ghala anatoa zagazaga zoote za jiwe na kuweka maahine mpya
Sasa pole pole akose viete?Unazani Vieite ni mbupu kila Mwanaume anayo sio
Eti wateule wa JPM.Hahahha... Samia, Samia, Samia nmekuita mara tatu kwanini unawaudhi machadema kwa kuteua wateule wa JPM?
Shaka Nadhani alkuwa KM Wa Uvccm Enzi Ya JK, Then Akateuliwa Kuwa KM Wa CCM Morogoro, Mengine Sjui Kama Ndoa yake na Nk [emoji4][emoji4][emoji4]Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais John Joseph Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Katibu CCM Morogoro kazi kwa tuhuma za rushwa
KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamidu Shaka amesimamishwa kazi na chama hicho ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za kula rushwa zinazomkabili.
Hayo yamebainishwa jana Alhamis Februari 11,2021 na Rais John Magufuli wakati akizindua soko kuu la Morogoro ambalo amependekeza liitwe Soko Kuu la Chifu Kingaru.
Hata hivyo licha ya Rais Magufuli kutomtaja jina amesema kuwa katibu huyo atajadiliwa kwa tuhuma za kula rushwa kutoka kwa madiwani wakati wa mchakato wa upatikanaji wa meya wa Halmashauli ya Manispaa ya Morogoro.
“Na wewe mstahiki Meya (Pascal Kihanga) nataka ubadilike najua umeupata umeya wa bahati bahati hapa, mimi napenda kuzungumza ukweli kwani nasema uongo ndugu zangu? Aliuliza Rais Magufuli na kuongeza,
“Hukutakiwa kuwa meya aliyetakiwa sikumrudisha kuwa meya na bahati mbaya hata utafutaji wa meya hapa ulikuwa umejaa rushwa na ndio maana Katibu wa CCM wa hapa tumemsimamisha kazi atajadiliwa kwa sababu alikula rushwa kwa madiwani,” alisema Magufuli.
Humphrey Polepole, vieite limefika kikomo, jifunze kuwa na adabu
Hilo vieit la ubunge unalipia mwenyewe unakuwa unakatwa, la CCM unakula kiyoyozi bureKwani Yeye Hana ViEti Ya Ubunge?
Uzuri anateua wote waliopata shida na mekoAnachofanya mama Samia ni kupiga deki na kihakikisha kuwa hakuna masalia ya jiwe .
Kwako kuna mwanaccm mbaya?yuko vizuri huyo sina shida naye
Hapo sasa,waliomfanyia vetting wamefumbia macho mambo muhimu sana kumhusu huyu dogo.historia yake ikoje?
mtakula jeuri yenu ccm inapetaLichama la hovyo hilo.
Vieite la bungeni ni la mkopo la CCM lilikuwa la bure.Sasa pole pole akose viete?
Ya miloni 300 atakayokopeshwa na bunge anakosaje?
Hahaha asee ngoja tuone kama ataipata notifikesheni.Humphrey Polepole, vieite limefika kikomo, jifunze kuwa na adabu
Chongolo ni mteuke wa JPM unapinga au?Eti wateule wa JPM.
Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais John Joseph Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Katibu wa CCM Morogoro kwa tuhuma za rushwa