Shaka: Kinana ni Chuo kikuu cha siasa kinachotembea, mtakaochaguliwa au kuteuliwa jifunzeni kwake

Mwizi, jambazi, msaliti. Kila jambo lina expires. Huu ujinga wenu utafika mwisho la safari hii mtakoma, mnadhani hii nchi ni yakuchezewa chezewa. Sasa mnaachea mjianike
Daaah, nani huyo?
 
Sehemu Rais Samia amefanikiwa zaidi ni kwa huyu mzee Kinana ✔️
 
Haya thibitisha

Nipatie vyeti vyako vyenye muhuri wa AFISA WA VIAPO nione kama kweli una HADHI na UWEZO wa KITAALUMA wa kupokea na kuchakata USHAHIDI.

KINANA NI JIZI LA WANYAPORI!

Haya, nipatie vyeti tuendelee.
 
Unaweza kuleta vyako kusupport hicho ulichosema?
 
Unaweza kuleta vyako kusupport hicho ulichosema?
Sihitaji vyeti.

Ninachohitaji ni kusema tu kwamba KINANA NI JIZI LA WANYAMAPORI.

Unataka ushahidi? Nipatie vyeti vyako vya kitaluma nione kama unaweza kuchakata hizo taarifa.

Usije ukawa oya oya tu mwenye kiherehere cha kushabakia majizi bila kuelewa haswa ajenda zao.
 
Shaka ameongea ukweli tupu. Kinana ni jabali kwenye siasa.
Siasa ni kipaji cha kuzaliwa hujifunzi kwa mtu.mzee kinana hicho ni kipaji chake hivyo hakiigiki wala hakifunziki. wewe tumia chako utaweza tuu.
 
Tena papa
 
Hujui kitu wewe Channel Ten ilikuwa na akina Patel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…