Eti mtiifu na mwadilifu sana. Huyu ana skendo zifuatazo ambazo hazimuweki kwenye hizo sifa labda umsifie kinafiki;
1. Inasemekana akiwa mbunge jimbo la arusha alihodhi mashine za kufulia zilizotolewa kama msaada kwa hospital ya mount meru. Baadae alifungua dry cleaner kubwa na ipo hadi sasa.
2. Peter Msigwa aliwahi kumtuhumu kama muumini wa wasafirishaji pembe za ndovu na kuna wakati kuna meli ilikamatwa china na pembe za ndovu na alipobanwa akakiri kuwa kweli anahusika na ile kampuni.
3. Aliwahi kusikika akimsema na kumsimanga bwana Magu baada ya kuonekana kuwabana kwenye mambo yao.
4. Lakini inasemekana pia ni mmoja wa watu waliojibinafsishia channel ten na mali zingine za ccm.